N ngararumu JF-Expert Member Mar 20, 2012 468 187 Dec 11, 2013 #41 Nyie msimponze Zitto bure na mamluki wenu, mwenZenu keshaomba. Msamaha nyie mwambwelambwela Tu
Gefu JF-Expert Member Nov 30, 2010 6,930 2,554 Dec 12, 2013 #42 Money Stunna said: mpaka watu wachinjane ndio uone vurugu kubwa Click to expand... ...kwani kunatafsiri mbili za neno vurugu kubwa..?hakukuwa na maana ya kuweka heading ambayo haina uhalisia wa kinachotokea huu ni upotoshaji...
Money Stunna said: mpaka watu wachinjane ndio uone vurugu kubwa Click to expand... ...kwani kunatafsiri mbili za neno vurugu kubwa..?hakukuwa na maana ya kuweka heading ambayo haina uhalisia wa kinachotokea huu ni upotoshaji...
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Dec 12, 2013 Thread starter #43 Gefu said: ...kwani kunatafsiri mbili za neno vurugu kubwa..?hakukuwa na maana ya kuweka heading ambayo haina uhalisia wa kinachotokea huu ni upotoshaji... Click to expand... mpaka mabomu ya machozi yanapigwa na ile kimbiza kimbiza na kipigo bado unaona vurugu ndogo
Gefu said: ...kwani kunatafsiri mbili za neno vurugu kubwa..?hakukuwa na maana ya kuweka heading ambayo haina uhalisia wa kinachotokea huu ni upotoshaji... Click to expand... mpaka mabomu ya machozi yanapigwa na ile kimbiza kimbiza na kipigo bado unaona vurugu ndogo
N ngararumu JF-Expert Member Mar 20, 2012 468 187 Dec 12, 2013 #44 Wewe Uledi who told u Slaa is Chagga lakini kwa Wachina is ok, Miafrika naturally hawapendi maendeleo
Wewe Uledi who told u Slaa is Chagga lakini kwa Wachina is ok, Miafrika naturally hawapendi maendeleo
W wauwau JF-Expert Member Apr 6, 2012 705 111 Dec 12, 2013 #45 Hao ndio walimpa kura Slaa, leo mnawaita wahuni. Cdm bwana. Hivi leo ndio unaona walivyo walipotoa kura kwa Fr. walikuwa sawa sio?
Hao ndio walimpa kura Slaa, leo mnawaita wahuni. Cdm bwana. Hivi leo ndio unaona walivyo walipotoa kura kwa Fr. walikuwa sawa sio?