Picha 17+: Ziara ya Mkoa wa Kilimanjaro... Huu Mkoa utadhani upo ndani ya kisiwa cha Hawai... Beatfully region.....

Tanzania ina makabila zaidi ya 120+ lakini sijawahi kukutana na kabila linalojivunia UKABILA kama lenu
 
Hakuna kijiji cha Uri ni Bali kuna kata za Uru Shimbwe, Uru Mashariki, Uru Mawela na Uru kaskazini na hapo ulipopita ni Materuni kupitia Mruwia

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwani Hawaii ndiyo wasidhanie ipo Kilimanjaro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…