donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 774
Yes the time frame you mentioned above is so big. But the ancient egyptians left the accounts of their history in written form. In some places they left the names of supervisors, engineers, and workers. Besides, the use of modern technology and the artifacts helps humanity reconstruct the past.
Je unajua ni data kiasi gani zinaweza kuharibika katika kipindi cha miaka 900 (2600-1700). Be sensible, Tanzania ina uhuru wa miaka 50 lakini ukikuta wazee waliokuwepo wakati wa uhuru watakuambiwa kuwa Tanzania ya leo ni maili kadhaa na ya wakati wa uhuru. Sembuse Tanzania ya miaka 900 ijayo, huyo anayeweza kupreserve historical artifacts ataweza kupatikana?
Wewe ile methali ya "Nyani haoni kundule" inakufaa sana. Inasema hivi: Siku moja midume miwili ya nyani ilikuwa itangulizana. Ghafla lilokuwa nyuma likashtuka kuona lile la mbele lina rangi ya blue kwenye makalio. Likaanza kucheka mpaka karibia kuzirai. Lile lililokuwa mbele likauliza kuna nini cha kufurahisha namna hiyo? La nyuma ndiyo likazidi kuwa halijiwezi kwa kucheka, hivyo likawa linaonyesha kwa kidole tu makalio ya mwenziwe huku likifa kwa kucheka.
Nashangaa kuunguliwa kutoa ushahidi kusupport data zangu wakati wewe pia umenipa data za WaIsrael wa karne (664-610 BC) bila anything you can call evidence, mimi unataka nikupe evidence. Wazungu walisema " That is bullshit" kwa sababu kama ni data zako ni za kusoma katika vitabu au mitandao na mimi pia nasoma katika vitabu na mitandao. Iweje niitwe mimi mwongo kwa sababu tu kitabu ulichosoma wewe kinatofautiana na nilichosoma mimi?
Je unajua ni data kiasi gani zinaweza kuharibika katika kipindi cha miaka 900 (2600-1700). Be sensible, Tanzania ina uhuru wa miaka 50 lakini ukikuta wazee waliokuwepo wakati wa uhuru watakuambiwa kuwa Tanzania ya leo ni maili kadhaa na ya wakati wa uhuru. Sembuse Tanzania ya miaka 900 ijayo, huyo anayeweza kupreserve historical artifacts ataweza kupatikana?
Wewe data zilizoharibika unazijua? tunaongelea zilizopo, kama una ushahidi wa data kuharibika lete, siyo kwa vile hazipo basi zimeharibika!!!!
Si kweli Mkuu, wakati Solomon anajenga hekalu lake Wagiriki na waMisri wa kale walishajua pi looong before Solomon was born!
Hahaha, kwa hiyo ulivoenda kusoma stori za Herodotus ndiyo umeibuka na hiyo hadithi kama mfano, 😛ound:
Uzuri wa Wamisri wa kale walikuwa advanced sana kaka, kiasi kwamba inawapa urahisi Egyptologists kupata lead na ushahidi wa matukio yaliyokuwa yanatukia kipindi hicho. Excavation katika kisiwa cha Elephantine zimevumbua artifacts za kutosha zinazoonesha hiyo Garisson iliyofika hapo ilitoka wapi na walikuja kufanya nini, pia kumekutwa maandiko (Elephantine Papyri) yaliyodocument vyema maisha ya kila siku ya hao wanajeshi, kama wewe hauuoni huo ushahidi basi una lako jambo, mawazo yako yamepindia upande ambao unaweza kufanya lolote ili kuutetea, kwa lugha nyingine umekuwa SHABIKI!
View attachment 135487
Soma hiki.
Do you know the meaning of data? Data you haven't collected can't be destroyed.
Hata hivyo angalia vizuri hiyo hesabu ya Hiramu, the guy was off, na naweza kusema kuwa huo mcheduara wake haukuwa perfect; Kama diameter ilikuwa 10 cubits, na mzingo 30 cubits basi kama ni kutumia pie alitumia 3.0!...kitu ambacho hakipo. Kwa hakika mzingo ulitakiwe uwe 31.4 cubits. Au mimi nimeanza kusahau hesabu za primary wakuu?
Kuharibika kwa data nilimaanisha data kuwepo lakini haiko katika hali ya kukusaidia kujua taarifa halisi zilizokuwemo katika data hiyo. You are left free to make your own choice of whether it is the information that you are putting up that is truely the information that was. Nidyo maana kila kukicha utakuta Scientists wanapingana kuhusu jambo lilelile baada ya muda. Siyo kwamba napingana na utafiti wako na maprofessor wako! Hapa naelezea data iliyopo lakini imeharibika!
In your explanations you abuse the meaning of data entirely. When you look at pyramids you don't see data there. What you see there are historical artifacts or body of evidence that could assist you or anybody extract data of their choices. For example, a medical doctor, anthropologist and religious scholar will draw different data sets when they examine the same Egyptian mummy.
It's true that overtime the qualities of historical artifacts and body evidence will deteriorate. However, that doesn't imply that the data extracted is inadequate for analysis.
Data is the collection of information relating to a given subject matter under study. Data may be visual, experimental, electronic or merely empirical. A pyramid constitutes a source of data but if the pyramid has been worn out by desert winds it shall present data that is deformed. That is not deterioration of data the way you seem to imply. That is a complete destruction of data because the way you come to interpret the data may be very far removed from reality.
What we do is to assume that the data we collect is reasonably accurate to a tolerable degree. That is why we include limits of tolerance by plus or minus some given order of our error. The data you call your proof is data that has been exposed to so many STOCHASTIC variations that the data is obviously doubtful.
Damn you, you almost sent me back to the Lecture Hall to explain to you such a damn small matter.
Please read your own statement. A pyramid is a source of data whereas data about the pyramid is the information you extract from the pyramid. So data and and its source are two different things. Further, having a deformed source of data doesn't imply the data you extract is inadequate for analysis.
Sasa wewe unataka ushindi kwa hoja za nguvu! When you extract information from the pyramid, is the pyramid not the source of the data Mimi natofautisha kati ya kukuta maandishi kuwa pyramid hii ilijengwa mwaka 1800 BC na kuchukua fossil ya tofali na kuliweka katika acid halafu ukaangalia reaction yake na kukadiria kuwa reaction hiyo ni ya udongo wa mwaka 1800BC. Wewe data unayozungumzia ni aina ya pilina hii hatuiti ushahidi bali finding ya Professor wako. Kesho mimi nitakutana na Professor anayetumia mionzi ya Ihfrared aseme no fosil hilo lilitokea mwaka 640 BC.
Analysis ya data from a deformed source ni defective ab initio.