jogoolashamba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 348
- 71
Sentensi yako ya mwisho tu inamaliza kesi!! Uko sahihi kabisa, hao hawakuwa watumwa, ilikuwa garison iliyotumwa kwenda kumsaidia Farao Psammetichus (664 - 610 BCE) katika vita dhidi ya Wanubi, muda mrefu sana baada ya mapiramidi kujengwa, sasa hao watumwa walikuja lini misri na walijenga lini pyramids?!! FYI, zaidi ya kwenye Biblia, hakuna evidence yoyote inayoonesha kuwa kuliwahi kuwa na watumwa wa kiyahudi Misri! Hapo namba mbili unasema kuwa 1700BCE ndiyo Waebrania walianza kutengemana huko misri, wakati miaka hiyo tayari mapiramidi yalishajengwa, ni yapi tena waliyojenga wao?!!
Sasa wewe unapenda kumaliza unavyotaka wewe! Waisrael uliowataja (664-610 BC) hawakuwa watumwa lakini wale niliokutajia mimi wa 1700 (Waebrania-Hebrews) walikuwa watumwa na ndiyo waliojenga mapiramidi.
Hahaha, siyo suala la kumaliza UNAVOTAKA, ni suala la evidence kaka. Wewe umefikiaje conclution ya kwamba watumwa (bado hakujagunduliwa evidence ya watumwa wa kiebrania huko misri) waliofika 1700 BCE (baada ya mapiramidi kujengwa) kwamba WAO NDIYO WALIJENGA?!!!! Things dond ad up, unaowasema walifika (kama kweli walifika) miaka ya 1700BCE, calendar inasoma mapiramidi yalikuwa yameshajengwa by then! Tumeshaona kuwa hawa jamaa walidocument vizuri kabisa kuwa waliojenga mapiramidi walikuwa wanakula vizuri, walilipwa ujira mzuri, kwa vyovyote vile kama wangekuwa watumwa kwa hakika wasingetendewa wema wote huo. Pia mapiramidi hayajatajwa popote katika biblia, kwa jinsi yalivyo alama kubwa ya ujuzi wa binadamu kwa hakika kama wangejenga hao watumwa tungeiona somewhere kwenye bible (at least)!
Hi everyone!
Katika kitabu cha Wafalme (1Fal 7:23-26), tunasoma kuwa Mfalme Sulemani aliagiza mtu mmoja aitwaye Hiramu kutoka Tiro, kutengeneza beseni(?) kubwa la maji (mfano wa mcheduara) kwa ajili ya kupamba Hekalu Jipya.
Ni wazi kuwa ili utengeneze chombo chenye umbo la mcheduara (cylindrical shaped object) itakulazimu angalau ujue matumizi ya Pi!
Ebu tuangalie vipimo alivyotumia huyu Hiramu mtu mwenye hekima na akili aliyetengeneza beseni(?) kubwa la shaba.
Kipenyo = mikono 10 (180 cubits), urefu kwenda juu = mikono 5 (90 cubits), Pi = 3.14159..., mzingo (circumference)?
Mzingo = Pi*kipenyo au 2*Pi*nusu kipenyo.
= 3.14159*10 = 31.4159 (appr. 30)
"Tena akafanya bahari ..., na uzi wa mikono therathini kuizunguka kabisa". Rejea 1Fal 7:23-26.
Swali la kujiuliza: hivi huyu Hiramu alijuaje kuwa ni lazima kutumia Pi enzi zile za zamani kabla ya sayansi na maarifa havijashika kasi kubwa?
(Ikumbukwe, Hiramu aliishi miaka 1011 BC)
Sasa wewe unapenda kumaliza unavyotaka wewe! Waisrael uliowataja (664-610 BC) hawakuwa watumwa lakini wale niliokutajia mimi wa 1700 (Waebrania-Hebrews) walikuwa watumwa na ndiyo waliojenga mapiramidi.
Hahaha, siyo suala la kumaliza UNAVOTAKA, ni suala la evidence kaka. Wewe umefikiaje conclution ya kwamba watumwa (bado hakujagunduliwa evidence ya watumwa wa kiebrania huko misri) waliofika 1700 BCE (baada ya mapiramidi kujengwa) kwamba WAO NDIYO WALIJENGA?!!!! Things dond ad up, unaowasema walifika (kama kweli walifika) miaka ya 1700BCE, calendar inasoma mapiramidi yalikuwa yameshajengwa by then! Tumeshaona kuwa hawa jamaa walidocument vizuri kabisa kuwa waliojenga mapiramidi walikuwa wanakula vizuri, walilipwa ujira mzuri, kwa vyovyote vile kama wangekuwa watumwa kwa hakika wasingetendewa wema wote huo. Pia mapiramidi hayajatajwa popote katika biblia, kwa jinsi yalivyo alama kubwa ya ujuzi wa binadamu kwa hakika kama wangejenga hao watumwa tungeiona somewhere kwenye bible (at least)!
Hahaha, siyo suala la kumaliza UNAVOTAKA, ni suala la evidence kaka. Wewe umefikiaje conclution ya kwamba watumwa (bado hakujagunduliwa evidence ya watumwa wa kiebrania huko misri) waliofika 1700 BCE (baada ya mapiramidi kujengwa) kwamba WAO NDIYO WALIJENGA?!!!! Things dond ad up, unaowasema walifika (kama kweli walifika) miaka ya 1700BCE, calendar inasoma mapiramidi yalikuwa yameshajengwa by then! Tumeshaona kuwa hawa jamaa walidocument vizuri kabisa kuwa waliojenga mapiramidi walikuwa wanakula vizuri, walilipwa ujira mzuri, kwa vyovyote vile kama wangekuwa watumwa kwa hakika wasingetendewa wema wote huo. Pia mapiramidi hayajatajwa popote katika biblia, kwa jinsi yalivyo alama kubwa ya ujuzi wa binadamu kwa hakika kama wangejenga hao watumwa tungeiona somewhere kwenye bible (at least)!
mkuu unajua kama definition ya pi kwa kiingereza ni kama ifuatavyo: 'pi is the ratio of the circumference of any circle to the diameter of that circle', kwa hiyo endapo utapewa kipimo kimoja tu ama mzunguko au kipenyo ili mradi umbo hilo ni duara basi lazima ukichukua mzunguko gawanya kwa kipenyo lazima jibu lake likaribie pi, na hii pi ilikuwa established baada ya ratio kati ya mzunguko na kipenyo ya duara lolote kuwa inaleta namba ya aina moja ndo maana wakaamua iwe constant na ikapewa jina hilo.
Kwa kifupi ni kwamba pi ni zao la maduara na sio kwamba maduara ni mazao ya pi, maduara yamekuwepo kabla ya pi kuwa established na ndo maana unaweza kuyapata katika maisha ya kawaida kabisa kwa watu ambao pengine hawajui chochote kuhusu hesabu , mfano vitako vya nyumba ya misonge, mazizi ya ng'ombe.
Suppose he agrees that waebrania were responsible. How long did they stay in Egypt as slaves? If I am not mistaken 400 years. How long did the ancient Egyptian civilization last? If I am not mistaken thousands of years. Right there your argument is falled apart.
Wewe unasoma tafiti zilizofanywa karne kadhaa wakati wa kipindi cha AD. Mimi nasoma maandiko tangu uumbaji, na katika maandiko tulishakubaliana kuwa watu huangaziwa na Roho Mtakatifu.
Pili WaIsrael unaowataja wewe hawakuwahi kuwa watumwa, ninaowataja mimi (Hebrews) waliteswa na Wamisri. Kipindi cha Waisrael wako ni cha karibuni zaidi ya kipindi cha Waebrania wangu. Na kipindi cha waebrania wangu kinaangukia miaka ya 1700 BC na mapiramid yalijengwa katka kipindi cha 2600-1700 BC.
Sikuelewi tunabishania nini!!!
what is missing isSomewhere,something is missing
"otherworldly beings"
Mkuu ufafanuzi kidogo katika hilo.. ndio kina nani hao...
Hatubishani kaka, tunajadiliana. Hebu ongea kwa proof basi, maana hata biblia unayotumia haijasema walijenga pyramid, WEWE UMEITOA WAPI? Tuanzie hapo ili nione kama kweli kuna mjadala hapa au ushabiki.
Tatizo wewe unasoma Biblia iliyoandikwa na The Gideons labda ndiyo sababu haina data nilizonazo mimi. Kama wewe unavyopata data zako amini na mimi ninapata zangu, sina sababu ya kukubishia kama sina alternative data. After all mtandao umejaa wasioamini kama kweli waIsrael walikaa utumwani Misri. You will not be the first one. Na kama unaamini hivyo basi historia ya Musa kuwa aliwaokoa wana wa Israel na Fimbo basi ni feki pia. Chagua lipi ulitakalo na uendelee nalo.
Tufanye waIsrael walikaa utumwani Misri, how does that prove they built the pyramids? Hebu weka mistari ya biblia unayosoma wewe ambayo inaonesha watumwa wa kiIsraeli walijenga pyramids. Kuwa sehemu flani wakati jambo fulani linafanyika haimaanishi kwamba na wewe ulishiriki katika kutekeleza jambo hilo.
Wana majina mengi kulingana na jamii walioishukia
Mfano kwa sumerians wanaitwa Anunaki,kwa babylonians wanaitwa nephilims, kwa jamii ya Enoch wanaitwa "watchers"
Hawa ni viumbe ambao wanatoka sayari ya mbali wenye uwezo wa interstellar travel
Well, I believe only legal proceedings take such a line of argument. Now, let us agree that Israelites were enslaved in Egypt at the time pyramids were built. Building a pyramid is no mean fit and can be described only as taxing process. Sasa wewe nadhani ndiyo una wajibu wa kuthibitisha kuwa siyo Waisraeli waliojenda mapiramidi.
Iweje raia wa kawaida wafanyishwe kazi ya kitumwa namna hiyo wakati watumwa wapo? QED
Sasa wewe argument yako ni kuwa waisrael wanatakiwa wawe walikuwepo Misri wakati wote wa Egyptian Civilization! Don't you see the defect in your argument? Umekwishambiwa kuwa Mungu aliwaondoa kwa mkono wa Musa! Na siyo miaka yote 400 waliyokaa Misri walikuwa watumwa, Yusuph alianzia kwa kuwa Mkuu katika nyumba ya Pharao kwa miaka kadhaa na WaIsrael walipohamia huko kukimbia njaa kwao walikuwa watu maarufu na wakijidai ndani ya Misri. Baadaye WaMisri walipochoka wageni kuwakalia juu ndipo wakaanza njama za kuwahujumu. Ni katika kupinga hujuma hizo ndipo Musa aliua Mmisri na akakimbia.
Read all that and you will not get mixed up by time frames of the size we are using currently. Time frame ya 2600-1700 BC is so big you cannot use it to make reference to an event. Huwezi kufigure out hata events na generations za watu ngapi zilipita hapo.
Kumbe tulichokuwa tukijadili huko nyuma yote yalikuwa yanaingilia sikio moja yanatokea la pili?
Kama hata ushahidi wa maiti za wajenzi wa pyramids hauuonei umuhimu umeng'ang'ana na stori za hewani sidhani kama kuna cha zaidi kujadili hapa.
Haya, nenda kasome Story ya Herodotus.