Duh! Nakumbuka siku ya kwanza nimefika shule Advance apo nimepangiwa PCB, aisee nilikuwa sijawahi viona hivyo vitabu ile kuviona tu kwa washkaji nilitamani kulia. Advance sio ya mchezo kabisa yaan inataka moyo wa chuma kwakweli, hasa shule zetu za watoto wa mbwa ni shida kwakweliHalafu siri ya phys ya advance hakuna kitabu utakachokisoma kikawa kina concepts zote
Inabidi usome vitabu visivyopungua vitano ili upate concepts kila kona
Tafuta vitabu hivi
1)Chands
2)Nelkon
3)modern abc
4)Rogers Muncaster
5)Tom Duncan
6)Calculations for A lev phys Vol 1%2
7)Respicius Kiiza
8)Reviews
Mechanical si ndio boss?Umenikumbusha mbali sana!! Mechanics hutaiacha hapo kama utaenda kusomea engineering...ukija chuo utaikuta mwaka wa kwanza...huku inaitwa engineering mechanics!!
Ukitaka kufaulu phy kwanza ipende pili penda maths pia jitahidi kusoma topics kama differentiation na integration mapema ili ukiwa kwenye phy ukiambiwa dy dx ujue ni kitu gani!!
Anyways nimemaliza engineering mwaka jana...namshukuru Mungu kwa kweli!!
No not really! Irrigation and water resources engineering!!Mechanical si ndio boss?
Angalia formant ya mtihanNaomba kuuliza wanajamvi hivi ni topic gani za physics ombazo hutoka mara kwa mara kwenye necta form six?
Ss ww unampa ushauri wa namna ya kufany au unampa wasifu wako??Topic ya Mechanics nilii master sana nilipokua A level,
Measurements,projectile motion,circular,SHM,Gravitation etc
Thanks God now Nipo namalizia degree yangu ya udaktari
AiseeDah, pole sana dogo...
Nakumbuka mzee alinikomalia nisome science kibishi sana, nilidodge nikajisajili combi za biashara form3 bk& comm. Baadae akaja kunistkuia kwenye report ya terminal exams.
Nikarudishwa form3 upya ili nisome science tu kama yeye kiukweli physics ilikuwa changamoto ila biology na chemistry ndio ilikuwa uge uge kwangu.
Hatimae niliambulia kufuli tu yani 'D ya physics kwenye CSEE, worst decision ever done!
Hakika Mimi nilisoma physics miaka ya 2000.hali ilikuwa mbaya🤣🤣🤣🤣🪑una raha sana unasoma kipindi ambacho kuna google,u tube una smart phone matuition yapo kibao walimu wa physics wapo kibao ila unasema bado inakusumbua dah aisee ungesoma kipindi chetu jee hi physics kaza kijana komaa acha kulialia...