Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Waliosoma PCB Physics Huwa inawajambisha sana,nadhani kwa Advance Physics ndio baba laoKwa sisi tuliosoma PCB advanced Physics ndio somo rahisi na huwa hatulipi kipaumbele...
Hapo sio attitude hapo ni uwezo,vichwa vimetofautiana aiseee kuna watu waliipenda Physics kwa moyo wote lakini Physics ikawakataaPhysics mbona rahisi sana mkuu kuliko. Sema attitude yako towards somo fulani na ile percieved difficulty ndio vinafnya watu washindwe na kuona somo fulani ni gumu
Nadhani vyuo vya Ualimu wanaosomea Physics Tanzania nzima kila mwaka wanaograduate sidhani kama wanafika 50 au 100 kwa Tanzania nzimaHeshima kwako mkubwa, kama ulizimaliza A zote kwa kweli NAKUHESHIMU SANA SANA SANA SANA
iLA KWANINI hUJAWA MWALIMU WA PHYSISC UISHI NDOTO ZAKO?
Mtu wa PCB Physics kuwa nyepesi naona harufu ya uongo,mtu wa PCM nakubali lakini PCB ,Physics Huwa inawalaza sanaNakumbuka miaka ileeeeee Pugu High school wale wa PCB na PCM moja ya masomo mepesi katika combination zetu ilikuwa Physics.
Ulipata A Physics?Nakwambia ni rahisi kwasababu PCB tunakomaa na Chemistry na Biology ila Physics hatukomai na matokeo yakija tunafaulu vizuri Physics wakati Biology na kukomaa kote ukipata C mwanaume! Enzi zetu.
Somo rahisi kwetu PCB ni Physics ndio maana hatulikomalii na pass mark zinakuwa juu.
Mwl gani hujui hata kuandika,Mi ni mwlm mwandamizi.acha kudanganya watu.physics ni ngumu.sio sawa na civics au history
BUlipata A Physics?
Brain yako ilikuwa sawa sawa aisee
Ulisoma physics??Hakuna somo gumu wakuu kama ukikaa na ukasilikiliza walimu kwa makini. Tatizo watu wengi hua tunasoma Physics huku tukiwa tumepanic na wasiwasi kwa sababu ya stori tunazoambiwa na watu waliotangulia
Ubaya physics hata ukikomaa inaweza kukutoa KONakwambia ni rahisi kwasababu PCB tunakomaa na Chemistry na Biology ila Physics hatukomai na matokeo yakija tunafaulu vizuri Physics wakati Biology na kukomaa kote ukipata C mwanaume! Enzi zetu.
Somo rahisi kwetu PCB ni Physics ndio maana hatulikomalii na pass mark zinakuwa juu.
Kawaida tu.
Aisee...thanks to Mr Mkongo(o-level) na Mr Machaga(a-level) waliifanya Physics iwe rahisi and enjoyable!Ubaya physics hata ukikomaa inaweza kukutoa KO
Ni kweli usemacho. Mimi nilikuwa siipendi. Ila yenyewe ilikuwa ikinipenda...Hapo sio attitude hapo ni uwezo,vichwa vimetofautiana aiseee kuna watu waliipenda Physics kwa moyo wote lakini Physics ikawakataa
Unafundisha histry, na civics??au literature na kiswahil??o levoo??Mwl gani hujui hata kuandika,