Physics Haters.

Umenikumbusha milambo high '11 Physics nilikuwa nasoma mara moja kwa wki hili nina D sasa cheki msuli wa Bios kila sku Hila D
I solute in Biology
ruga ruga mwenzako niko huku. ila sio kwa hiyo' P' nawaasoma tu wenyeji wa fizikia
 
Mi ni mwlm mwandamizi.acha kudanganya watu.physics ni ngumu.sio sawa na civics au history
Wala sio icho unachokisema mkuu.
Ukiifundisha kama unaijua ile kitu kiuhalisia IPO damuni lazima wataiona ni tamu.
MIE mwalimu wa fizikia olevo kanifanya nikaipenda.alitupa methodology how to answer/tackle physics problem adi raha.
 
Kwa sisi tuliosoma PCB advanced Physics ndio somo rahisi na huwa hatulipi kipaumbele...
Sio somo rahisi bali kwa masomo mengi ya vyuoni combi hii CB ndio inahusika zaid kama kwa PCM mara nyingi hawakomai na Chemistry;je na wao waseme rahisi?
 
Sio somo rahisi bali kwa masomo mengi ya vyuoni combi hii CB ndio inahusika zaid kama kwa PCM mara nyingi hawakomai na Chemistry;je na wao waseme rahisi?
Huu ni mtazamo wako na ule ni mtazamo wangu.
 
Huu ni mtazamo wako na ule ni mtazamo wangu.
Sio suala la mitazamo ni reality!kama ingekua rahisi na wa PCM wangekomaa na Math na Chemistry but ni issue ya kuangalia ili uende Medicine unatakiwa ufaulu somo gani na ndio maana PCB wanakomaa na CB
 
Nakwambia ni rahisi kwasababu PCB tunakomaa na Chemistry na Biology ila Physics hatukomai na matokeo yakija tunafaulu vizuri Physics wakati Biology na kukomaa kote ukipata C mwanaume! Enzi zetu.
Somo rahisi kwetu PCB ni Physics ndio maana hatulikomalii na pass mark zinakuwa juu.
 
Same kwa PCM wanakomaa na PM ila kupata point 3 zilikua nyingi toka PCM na ukiuliza utaambiwa Chemistry unayoiona wewe ngumu wao walikua sio kipaumbele kwenye ratiba zao
 
Same kwa PCM wanakomaa na PM ila kupata point 3 zilikua nyingi toka PCM na ukiuliza utaambiwa Chemistry unayoiona wewe ngumu wao walikua sio kipaumbele kwenye ratiba zao
Somo lililokuwa linawakosesha PCB point tatu ni Biology tu. Sio Physics wala Chemistry. Mwaka wetu Biology wa kwanza nchi nzima alipata C,btw sijasema Chemistry ilikuwa ngumu. A za C&P zilikuwa kibao..
 
Wala sio icho unachokisema mkuu.
Ukiifundisha kama unaijua ile kitu kiuhalisia IPO damuni lazima wataiona ni tamu.
MIE mwalimu wa fizikia olevo kanifanya nikaipenda.alitupa methodology how to answer/tackle physics problem adi raha.
It means civics/history ikageuka ngumu kuliko physics?
 
Mkuu nakuunga mkono!

Hata wale waliopata A za Physics hasa advance waliwekeza mda na nguvu nyingi sana! Ugumu wake inahitaji mazoezi ya kutosha sana na ina vitabu vingi sana ambavyo kila kimoja unaweza usikute swali limejirudia au ukakuta yana concept tofauti sana hivyo ukitumia kitabu kimoja au viwili tu unaweza usione ndani!

Vitabu kama Nelkon, Roger Muncaster, UP, Tom Duncan, Chand karibia vyote walivipitia waliopata A tofauti na Mathematics ambayo ukisolve Pure 1&2 + Tranter unakuwa kwenye position nzuri tu ya kufaulu vizuri au Biology ukimeza BS na mkate + notes za walimu unaweza kuwa kwenye position nzuri na Chemistry ndio mtelemko kwa sayansi nzima!
 
Physics iko chuo bhana sio advance, kuna mtu naitwa Prof. Msaki asee ni hatari yule mzee tulikua tunasoma baadhi ya masomo ya PH ilikua noma. Triple integral, divergence theorem hatari sana na Schrodinger equations, pia kuna Prof. Ndalichako naskia ni mume wa Prof. Joyce Ndalichako aseee anapiga electromgnetics ukiingia kwenye test yake anawaambia mkae vyovyote na formation ila mnashangaa kila mtu anajitetea mwenyewe mana ngoma hazitembei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…