Physics and mathematics

Bonnie SN

Member
Nov 19, 2022
8
5
Masomo hayo hapo juu, nipo favourite kuyafundisha vzr kabisa hasa Ordinary levels schools. Naomba kujua ni shule zipi ninaweza kupata nafasi za kufundisha? Favourite kama za Private.

Mm ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu 2022.

Contact: +255713538560
 
Wewe ni mwalimu.... Tofautisha kupreach na kuteach, kama sio mwalimu utaenda kuhubiri tu na wala sio kufundisha.
 
Masomo hayo hapo juu, nipo favourite kuyafundisha vzr kabisa hasa Ordinary levels schools. Naomba kujua ni shule zipi ninaweza kupata nafasi za kufundisha? Favourite kama za Private.

Mm ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu 2022.

Contact: +255713538560
Nikuambia tu furusa haimfuati mtu, inatafutwa.

Over
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom