Physics and mathematics

Physics and mathematics

Bonnie SN

Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
8
Reaction score
6
Masomo hayo hapo juu, nipo favourite kuyafundisha vzr kabisa hasa Ordinary levels schools. Naomba kujua ni shule zipi ninaweza kupata nafasi za kufundisha? Favourite kama za Private.

Mm ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu 2022.

Contact: +255713538560
 
Wewe ni mwalimu.... Tofautisha kupreach na kuteach, kama sio mwalimu utaenda kuhubiri tu na wala sio kufundisha.
 
Masomo hayo hapo juu, nipo favourite kuyafundisha vzr kabisa hasa Ordinary levels schools. Naomba kujua ni shule zipi ninaweza kupata nafasi za kufundisha? Favourite kama za Private.

Mm ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu 2022.

Contact: +255713538560
Nikuambia tu furusa haimfuati mtu, inatafutwa.

Over
 
Relax physics na math huwezi lala njaa.....hii December shule nyingi zitatangaza nafasi
 
Back
Top Bottom