Photoshop! ??

[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji102] [emoji102]
 
[emoji21][emoji188]
 
Ukilikosa hilo ni mpaka kesho yake tena
Ilinitokea nilipoenda Tanga, yaani nimefika saa 12 jioni nakuta Hiace moja tu ya kwenda Pangani imejaa nyomi, nikataka kuzingua,mwenyeji akaniambia,"usipopanda hiyo ndo mpaka kesho tena".
 
Mbona kama rasta wa kisiju anaonekana hapo?
 
Ahahaa mkuu hiyo itakua photo duka tu, kwa jinsi ninavyowajua wanawake walivyo waoga.. wasingekaa comfortable namna hiyo kwenye hilo teremka tukaze, lazima sura zingesadifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…