Hapa nilitumia tutorial nyingine but inataka kufanana na ile ya C6.
Then nikaongezea na reflecton and this is what I got.....
Steps za kutengeneza hiyo text zimeelezwa na C6 kwenye thread yake ya "Tutengeneze bling bling text...." except ye hakuonesha hiyo reflection. Kama hutoipata hiyo thread, watch this video