Photoshop [EXCLUSIVE]

hii nimepoteza psd yake ila nikiipata ntawawekea hapa, kwa sasa enjoy hii jpg ili muweze kuangalizia

nimetumia snapshot, sikuona kuza psd file. anyway, credits zimwendee MtotoSix, nitapost PSD baadaye nikiwa home

note: this is for educational purposes only. making of voters cards and/ or other government issued papers is illegal
 
safi sana, ungetumia psd ingewa very simple coz nime arrange kila kitu into groups, lakini safi sana
 
Kwani umeskia haya mashindano? Hii ndo level yetu na tunatakiwa tuwe proud nayo
Umemwambia anachostahili.... + Anatakiwa asome tena maelezo ya hii thread...!!!
Tupo hapa keshare ideas ktk photoshop sio kushindana!!!
 
mwenye product key za cs6 msaada wandugu,
Ukitumia keys huwa zinakuwa detected na adobe product updater once u connect to the internet.
Nitajie bit system yako (64 au 32) nikupe patch ambayo hutakuwa asked keys tena.
 
Ukitumia keys huwa zinakuwa detected na adobe product updater once u connect to the internet.
Nitajie bit system yako (64 au 32) nikupe patch ambayo hutakuwa asked keys tena.

32 bit mkuu.
 
C6 hulali? nice work πŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
hivi mi nafanyaje kupata izo programs?natafta izo nisome online mwnyw na kupractice home
kamautakua na idea kwanza ndo uchek mchakato wa online or else itakuwia ngumu kuimaster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…