Photos from Obama's 2013 inauguration ceremony

Wale wanaokimbiaga sherehe za kuapishwa Rais just because wameshindwa uchaguzi, wajifunze toka kwa wenzetu wamarekani...
 
Na rais wako nae ajifunze kutoka marekani kuwa mvumilivu wa kisiasa, asiibe.kura na kutumia dola vibaya.

Kura zinahesabiwa na tume. Rais ni mgombea, hayuko responsible na mahesabu ya kura. Ukimlaumu Rais kwa kura kuhesabiwa vibaya unakuwa sawa na mtu anayemlaumu cashier wa bank kwa sababu mshahara wake haujaingizwa kwenye akaunti.
 
He made it so proud of him!! Republicans mpo? Mnamchukia Obama vile ni mtoto wa Africa...Ili Maandiko yatimie na ikawa hivi..................wapo wengi walioshuhudia wapo wengi walioamini wapo wengi waliojua wapo wengi waliotambua Siku yaja na unabii utatimia ni leo!! Martin Luther Jr. atapumzika sasa ile ndoto yake imetimia. Wapi Mitt R..????
 
Obama is trully one lucky %$#&^*, the guy has it all...Presidential life, beautiful smart wife, beautiful daughters...two of them, a happy family! What more could he ask for?!
 
Wale wanaokimbiaga sherehe za kuapishwa Rais just because wameshindwa uchaguzi, wajifunze toka kwa wenzetu wamarekani...
Wingi huo unatokana na ushindi wake kuwa halali bila mizengwe ya wizi au vitisho vya Shimbo wa US.
Pili watu wanamatumaini naye maana wana jua hawezi kula 10% ya miradi kama ya bomba la gesi na hela kupeleka Uswiss.
In short watu wanamatumaini naye makubwa.
Tumeona hata kipindi hiki cha mpito alivyokuwa anafanya vikao vingi na Republican kwa ajili ya manufaa ya siasa na ujenzi wa US sio hawa wa vijembe na mipasho tuu
 
Yaani kwa kuangalia tu hizi picha napata "goosebumps"......hongera sana Obama kwa kushikilia tena ofisi kwa miaka mingine minne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…