Photos from 1961!!

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,857
1,936
aerial.jpg
 
kweli jk amefanya kazi ya kubadilisha huu mji, sio mchezo.

angalia na huu hapa wa 'watani' zetu Nairobi miaka ya 1920 ili ujue tumeachwa si leo!

Nairobi in 1920's.jpg
 
JK amefanya nini hapo kuubadilisha mji
Kuna barabara mpya ameongeza kuacha zile alizoacha Nyerere
Au kuna bandari mpya au station mpya ya reli au hata treni z aumeme ameanzisha
Aebadilisha nini cha kujivunia zaidi ya kuongezeka kwa foleni
 
Nairobi wana ufisadi na rushwa ila angalau wanafanya kazi unaiona
nenda Nairobi kwa sasa na uone walivyojiandaa na miundo mbinu yao
Na bado hivyo vision 2030 kama hakutakuwa na ufisadi kama wa hapa kwetu watakuwa mbali sana
Sisi kila siku daraja la kigamboni, mji mpya w akigamboni, mara mji mpya mchikichini unaishia kwenye makaratasi tuu hakuna linaloonekana
Tumezidi na michakato isiyokuwa na uhalisia
 
Ni kweli mkuu
Jamaa wamejipanga sana, sasa sisi viongozi si ndio kina Hamis Kigwangala!!

Mungu atusamehe lol!

Mkuu wenzetu wanafanya kweli
hata kama wanakula ila wanafanya kazi
barabara zitaonekana zinajengwa
Toka waweke sahihi ujenzi wa daraja la kigamboni mbona hata huyo mkndarasi haonekani
Mradi wa mabasi ya kasi wa dar kila siku unazungumziwa af if kuna kirusi kinapita hakuna kitu
Barabara ya ubungo kimara mpaka mbezi ilipaswa iwe na njia nane sio njia nne za sasa same to ya bagamoyo ila tunazungumzia fly over ambazo hata uwezo wake hatuna
 
isije kuwa yaleyale ya cccc ya Mh. Nundu
 
Picha ya 1962 inaonyesha kulikuwa na meli nyingi zinaingia na kutoka hapo bandarini. Picha ya sasa hivi vinaonekana vijahazi tu vinavyotoka Zenji. Huu ni ushahidi tosha kwamba siku za nyuma tulikuwa vizuri kuliko sasa.
 
Back
Top Bottom