issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,743
- 12,370
Inashangaza sanaNa Kwenye Mazishi Watu Waliudhuria Bila Kuvaa Barakoa Na Salamu Za Mikono Kama Kawa.
Inashangaza sanaNa Kwenye Mazishi Watu Waliudhuria Bila Kuvaa Barakoa Na Salamu Za Mikono Kama Kawa.
Haya mambo ni magumu sanaNa Kwenye Mazishi Watu Waliudhuria Bila Kuvaa Barakoa Na Salamu Za Mikono Kama Kawa.
Aliyewatoa kafara wote hao ni huyu huyu mnayemsifia pamoja na genge lake.Labda alijitoa kafara kwa ajili yetu.
Na kama ni hivyo, basi tunashukuru maana kwa kufa kwake, covid 19, iliisha!