Photo & Video: Ukikuta paka ofisini kwako utafanyaje?

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
31,983
64,014
Heshima yenu.

Kuna uzi mmoja alianzisha member fulani hivi kwamba nje ya ofisi yake amekuta vitu kama damu.

Mimi nikamtoa hofu na kumwambia hata mimi katika frame ya ndugu yangu tumeshakuta paka ndani asubuhi tunapofungua wakati frame ina geti na ina mlango wa aluminium.

Leo yule ndugu yangu akaniambia nikamshikie ofisi yake, nilipofungua tu nikakuta ndani kuna paka kakaa kwenye kiti.

Now am hysterical natamani nicheze PES natamani nimalizie misheni yangu kwenye GTA V tatizo kiti alichokalia ndicho natakiwa kukalia.

IMG_20200601_113522.jpg
 
Mwambie mwana wenzakosaa tisa washaondoka wewe unafail wapi man ebu fanya uwahi mwanangu tusijeonana wabaya
 
Fafanua mkuu

Watu is wanaoongelea ubaya wa wachawi mara nyingi na kuwalaumu huwa ndo wachawi na washirikina wanajificha tu, Kwa hiyo wachawi ni Hawa watu tunaoshinda nao, kula nao na kufanya nao Kila kitu!
 
Huyo Paka huenda aliingia ndani ya ofisi wakati Ofisi ipo wazi,
Kisha akajificha sehemu nawe ukamfungia humo ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom