Photo:usingizi noma

hahahahah.........ataki mchezo mana abiria chunga mzigo wako.
 
Inaonekana hapo alipolala kuna panya wengi sana, hebu angalieni alivyoficha essentials ili zisiliwe na panya.
 
Inaonekana hapo alipolala kuna panya wengi sana, hebu angalieni alivyoficha essentials ili zisiliwe na panya.
ha ha ha ..hawa panya wanajua wapi pa kuguguna tuu kwa nini wasing'ate pua??
 
Anaogopa wataipeleka mabwepande... Hatuaminiani tena hata kwenye ndoto bana.
 
Ha haaa usipoichunga unaeza kuta mtu kesha ikalia anajipa raha watu hawana dogo inaonekana nyumba iko full mpaka kalala kwa sebule.
Mie nikimkamata anajipa raha bure bure natulia kama simsikii mpaka amalize...ila akimaliza namdaka alipie huduma
 
Tehetehetehetehe Mkuu Asigwa umenifurahisha sana leo.....

We lazima utakuwa wale jama zangu wanaokula kitu mtori aseeeee..
 
Kafanya kosa kubwa sana watu tunaweka mikono yote yeye anaweka mmoja au mashine ishanza kuchoka nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…