Photo says more!

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Kaaazi kweli kweli!
R.I.P Mushi!
R.I.P Munisi!
 

Attachments

  • 1394428_704456126238963_1788619263_n.jpg
    10.7 KB · Views: 628
Weka picha nyingine mkuu. Nimeshindwa kuelewa jamaa anakodi au ana-nunua nyumba.
 
!
!
kwa yaliyonitokea siku ya jana nikiona mwanaume anaomba msamaha kwa demu najisikia kitapitapi cha kufa mtu.
 
Tangopoli ongeza picha, alf naona km zile hela ni fake ila na yeye atapewa penzi fake tiu na itakua ngoma droo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…