rediicky JF-Expert Member Joined Apr 1, 2019 Posts 235 Reaction score 392 Jan 31, 2021 #1 Niende moja kwa moja,naombeni ujuzi wa kurudisha picha ambazo nimezifuta kutok kwenye E mail angu kama kuna app inaweza fanya hivyo mnisaidie ni ipi
Niende moja kwa moja,naombeni ujuzi wa kurudisha picha ambazo nimezifuta kutok kwenye E mail angu kama kuna app inaweza fanya hivyo mnisaidie ni ipi
racka98 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 1,042 Reaction score 1,547 Jan 31, 2021 #2 rediicky said: Niende moja kwa moja,naombeni ujuzi wa kurudisha picha ambazo nimezifuta kutok kwenye E mail angu kama kuna app inaweza fanya hivyo mnisaidie ni ipi Click to expand... Kma umeifuta huko ndio basi. Umeishaifuta kutoka kwenye server zao. Kma email client yako ina Bin/Trash angalia humo unaweza ikuta
rediicky said: Niende moja kwa moja,naombeni ujuzi wa kurudisha picha ambazo nimezifuta kutok kwenye E mail angu kama kuna app inaweza fanya hivyo mnisaidie ni ipi Click to expand... Kma umeifuta huko ndio basi. Umeishaifuta kutoka kwenye server zao. Kma email client yako ina Bin/Trash angalia humo unaweza ikuta
rediicky JF-Expert Member Joined Apr 1, 2019 Posts 235 Reaction score 392 Jan 31, 2021 Thread starter #3 racka98 said: Kma umeifuta huko ndio basi. Umeishaifuta kutoka kwenye server zao. Kma email client yako ina Bin/Trash angalia humo unaweza ikuta Click to expand... bas itakua ivo nisha angalia huko hazipo
racka98 said: Kma umeifuta huko ndio basi. Umeishaifuta kutoka kwenye server zao. Kma email client yako ina Bin/Trash angalia humo unaweza ikuta Click to expand... bas itakua ivo nisha angalia huko hazipo