Photo printer epson l800 inauzwa

Photo printer epson l800 inauzwa

mr planB

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Imetumika miezi 4, ipo katika hali nzuri, nilikuwa naitumia katika studio yangu ndogo ya picha, kutokanna na usimamizi mbovu nimeamua kuifunga na kuuza kila kitu, kama utakuwa unahitaji kamera na hiyo printa vinapatikana kwa bei poa sana, karibuni wadau
 
Umeshindwa kuweka picha yake ? au unataka mpaka udaiwe picha...hata tukigoogle tutaiona lakini sio hiyo unayouza wewe...inatakiwa tuone hiyo yako...
 
ingefaa zaidi kama ungetuonesha kwa picha hivyo vifaa kwani wengi wanahitaji
imetumika miezi 4, ipo katika hali nzuri, nilikuwa naitumia katika studio yangu ndogo ya picha, kutokanna na usimamizi mbofu nimeamuwa kuifunga na kuuza kila kitu, kama utakuwa unahitaji kamera na hiyo printa vinapatikana kwa bei poa sana, karibuni wadau
 
samahani wakuu, ni kweli nauza printa ni photo printer epson l800 kwa 600000tsh na kamera digital ni fuji kwa laki 250000tsh, ila kwa sasa nipo mbali kidogo kikazi sintaweza kupata picha zake so naomba mnisubiri kwa 1week nitarejea tena hapa jamvini. SAMAHANI SANA NDUGU ZANGU, ahsante.
 
Kwa heri kwa maana hata bei ya dukani tu ipo chini ya bei yako
 
Back
Top Bottom