ni ujinga.... msituaminishe vitu ambavyo si vya ukweli..!
leta forecasted informations ambazo zitaonesha kwamba itakuwaje, sio imaginary cities of other places..
serikali yenyewe hii ya kurithishana, nani atafanya city planning advanced kama hiyo??
kama dar yenyewe tu inaleta shida hivi.. what do you think of moshi?