Photo:maafande zoezini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Photo:maafande zoezini

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bilionea Asigwa, Jul 20, 2012.

 1. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Ukitoka hapa na kizazi kimetoweka

  affande.jpg
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mazoezi mazuri!
   
 3. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  wanaaribu mguu unao baki chini hautakiwi kuukunja cockup.
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyo wa right kabisa ndio kapatia (sijui ni mwanamke?) mikono inatakiwa kua chini ikupe balance ili kifua kisipinde kwa mbele, bali kiwe continuation ya angle ya kiuno. Hao wengine wawili hapo mbele wamekosea, watakosea au watajiumiza viuno bure. Na ndio maana wamelazimika kukunja mguu unao wapa support.
   
 5. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  @ Roulette, I salute you madam.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ni nchi gani hii mkuu maana wa hapa kwetu hovyo kabisa tukio likitokea hata uwapigie simu hawapokei na wakipokea watakuja baada ya masaa mawili hasa ukiwaambia majambazi yana bunduki..hahahah
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  nafikiri huyu wa kushoto kaweka mkono sirini ili kulinda kasuruali kake kalikochanika kasionekane kwa mtoto mzuri mbele yake na si kutafuta balance.....
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  hawa wa hapa hapa bongo...ila mafunzo yakiisha na maadili yanaishia hapo hapo huku uraiani wanakuja kivingine......
   
Loading...