PHOTO: Lumumba Street's Online Trolling Unit

....

....ha ha ha buku saba kazini ...dadadeki saibabakrim itashindisha watu njaa !!!!
 
Hilo litakuwa ni getto na sijui kama usalama upo wa kijinsia mkuu samahani lakini
 
Namwona Ritz kavaa t-shirt ya kijani na bukta bluu
 
kikosi kazi cha mtaaa wa lumumba.buku7.
 

UKAWA wakiingia madarakani,hawa wote kibarua chao kinaota majani.watarudia kazi yao ya zamani.ukabaji na uporaji.
 
Binafsi naona chenga nilichokidhania kuwa ni university students wakiandaa KAZI kumbe ni suala lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ