Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Huyu jamaa ndiye mtaalamu wa kivisimamisha hivi vinyago na ameithinishwa na bureau of standards sasa alikuwa anaangalia kama walikumbuka kumvalisha chupi wanazouza pia hapo dukani. Ila angalia nili picha tu lakini hamasa!
tokea mjue neno PHOTOSHOP imekua tabu mjini......."..kuna WASWAHILI jambo la kipuuzi limephotoshopiwa wanaona LA MAANA.."JK NYERERE