Photo editing applications for android

Photo editing applications for android

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wakuu nimehangaika sana kutafuta kwenye mtandao photo ediditing applications for android lakini nilizopata hazina features makini, ni za kawaida mno kama kuweka borders, kubadili rangi na features nyingine zinazofanana na hizo. Kwa mwenye ufahamu naomba anijuze yaani nahitaji application ambayo inaweza kufanya advance features kama; kuunganisha vipande viwili vya picha tofauti kuwa moja; kubadilisha picha kuwa na sura tofauti kabisa n.k nadhani nimeeleweka wakuu.
 
Thanx wakuu, sikuwajibu kama nimefanikiwa coz nilikuwa maeneo ambayo sikuwa na access nzuri ya internet
 
Back
Top Bottom