PHOTO BEST APP

karare

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
31
Reaction score
8
WADAU MSAADA TAFADHALI
ni app gani nzuri ya kung'arisha picha ambayo imechafuka/imepigwa na simu ambayo camera yake haitoi photo vizuri?
 
WADAU MSAADA TAFADHALI
ni app gani nzuri ya kung'arisha picha ambayo imechafuka/imepigwa na simu ambayo camera yake haitoi photo vizuri?
hakuna app kama hio, unless hio simu iwe na uwezo wa raw,
 
Mkuu naomba application nzuri ya kutengenezea picha haswa editing, android phone ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Photoshop touch kama una idea na kutumia photoshop,

Kama sio mtaalamu sana google wana editor yao inaitwa snapseed ni nzuri pia.

Pia kuna trendy apps za kawaida kama picsart, photosuite, avira etc.
 
Raw ni nini hii brother

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria raw kama mahindi, maharage, mafuta, maji etc na picha ya kawaida kama makande.

Simu ikipiga picha ya raw inakuwa na all possible details then ikishapiga lile file unalifungua kwenye software kama lightroom na kuseti unataka picha yako iwe vipi. Kwenye raw ile process nzima ya kutengeneza picha unaifanya wewe badala ya simu, kazi ya simu inakuwa ni kukutafutia tu hizo combination.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ