Phonebook

Phonebook

Mie kutokana na kazi zangu majina ya mafundi mbali mbali ndio yamejaa.
Fundi viatu, fundi top and die, fundi vitumbua, fundi koni, fundi gari, fundi makabati, fundi umbea, fundi unoko, fundi matusi, fundi richmond na mengine kama hayo.
 
Mie J ndio wengi... Jingajinga, jaluo, jambazi, JF afu inafata ID ya mtu...
 
Back
Top Bottom