Phone budget 200000-250000

Phone budget 200000-250000

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,082
Reaction score
1,917
Habari zenu nataka nimnunulie mama yangu simu kama zawadi ya birthday nimeandaa budget ya laki mbili mpka mbili na nusu naomba mnishauri ni simu gani nzuri
Ukizingatia muonekano na camera nzuri maana ni mfanya biashara wa mitandaoni nahitaji kumpa simu yenye camera nzuri.
Shukran napitia comment
 
Kwa bei hiyo ni ngumu kupata simu yenye kamera nzuri sanasana ni heri ununue used kama Sony Xperia XZ2, ni simu iliyotimia kila kona kwa laki 2 na nusu
 
Mkuu kwa hela hiyo chukua infinix au tecno ui unbox mwenyewe achana kabisa na used/refurb utakuja kulia bure
 
Back
Top Bottom