hiyo tabia mbaya itakua kaianzia kwao sio bure na kama hapendi ufanikiwe i guess atakua hakupendi
......aaahhh bana, imagine mshakaa miaka 10+ ya ndoa...ila kila ukirudi na good news umepandishwa cheo yeye " homa" inampanda!
Otherwise, baada ya kuzoea hali na akiona matunda yake kimaslahi, anarudia hali yake ya kawaida...(hapo ishapita mwezi+)....
Yaani, ukipata safari ya nje ya nchi yeye ndio na BP juu.... Anatamani unyimwe Viza!!!
mmh hiyo ya pili kutokupenda mafanikio ya mwenzake kazini nadhani ni
hatari zaidi!!!!!!!!!!!hiyo ni Roho mbaya tu
kama aliyepata promo ni KE ,kidume kitakua kinaogopa kumwagwa na kama ME most of the cases mbona inakua kawaida tu!!sema hii jinsia ya Eva inaweza hata badilisha kila kitu wakipanda vyeo dharau zinaongezeka n,k
......aaahhh bana, imagine mshakaa miaka 10+ ya ndoa...ila kila ukirudi na good news umepandishwa cheo yeye " homa" inampanda!
Otherwise, baada ya kuzoea hali na akiona matunda yake kimaslahi, anarudia hali yake ya kawaida...(hapo ishapita mwezi+)....
Yaani, ukipata safari ya nje ya nchi yeye ndio na BP juu.... Anatamani unyimwe Viza!!!
Mkuu Mbu ndoa iliyojaa mashindano ya hivi kati ya mke na mume huwa imejaa mifarakano mikubwa na mara nyingi ndoa za hivi huwa hazina maisha marefu. Wengine hushindana hata kwenye elimu, mke/mume anafanya Masters au Phd basi na mwenzie lazima afanye mbinde ili naye awemo kwenye Masters/Phd. Mafanikio yoyote yule ndani ya ndoa kwa maoni yangu ni mafanikio ya wote na hivyo yanastahili kufurahiwa na wanandoa wote badala ya kuleta sokomoko ndani ya ndoa la kila mmoja kutaka kuonekana yeye ndiye bora kuliko mwenzie.
View attachment 113859
....hivi, hebu nyie watu wazima wenzangu incl Dark City, @ nyumba kubwa, Lizzy, Mr Rocky, Nyamayao,..... Mniambie hii kitu kwenye ndoa, Mume/mke anakuwa;
-hapendi mwenza wake akisifiwa,
-hapendi mafanikio ya mwenza wake
Kikazi
-hapendi mafanikio ya mwenza wake kimaisha, nk nk..
Yaani yeye anataka mwenza wale abaki dhalili tu!....
Ni nini hii?! Psychological problem, Obsession au ni Ujinga tu!?
Eti Eiyer, @aspirin, King'asti, afrodenzi, Smile, EMT, TIMING, soulmate wangu MwanajamiiOne na wengineo, mkuje hapa mnipe ushauri...
... AshaDii, umenisoma jamani, BAK, tafakari unishauri...mpo wengi, sitawataja wote ila nawaomba msaada wa mawazo juu ya hili....
Kwanini "hawafurahii" mafanikio ya wenza wao?!!