Brother!
Hata waliyoikubali Quran na Mtume hawakuikubali kibubusa! Bali waliikubali Quran na mtume baada ya kufikiri kwa kina; aidha kwa hoja au kusikia kilichosemwa na Quran.
Tangu mababu zangu walisema haya masanamu ndiyo miungu. Muhammad anakuja na hoja zake anasema hawa si miungu bali kuna Mungu! Haya mambo yapoje!
Mi samtaimu najuaga, wapo wengi tu wanaowezaga kujua wanaota af wakaendelea kuota au kuamka.Everybody is a day dreamer life in the world is a dream,wewe ukiwa unaota usiku ukiwa kwenye ndoto muda ule unaota unajua kuwa hapa naota?
Nilikuuliza hivi maneno na logic kipi kilianza ?!Hapo mtu anafanya correct reasoning ambayo kiujumla inaitwa logic (mantiki). Na Logic inamfanya mtu anafanya uwiano anachanjua fikra ili aweze kuwa na wazo sahihi. Kumbuka hapo kote mtu anatafuta kuelewa ili ajiridhishe: Sasa ile hali ya kuwaza na kuwazua yaani unafanya ni kama jaribio ili mradi uweze kuelewa unachokifikiri wakati unafanya reasoning na hitimisho kwa kuelezea hicho ulichokichanjua kwa njia ya kufuata logic(mantiki) na logic ni correct reasoning; hii ndiyo inaitwa falsafa.
Falsafa zinawafanya muwe wajinga sana, ulimsoma Waraqah Bin Nawfal bin Abdul Uzza ? Yule mtu ilikuwaje akamuamini Mtume zama zile ? Jibu rahisi sana Sababu alikuwa na Elimu ya mambo yale na Mtume si wa kwanza katika kufikisha ujumbe juu ya Mola ?Vipi kama ungelikuwa kipindi cha Mtume Muhammad na angelikuambia yeye ndiye Mtume aliyetumwa na Mungu marejeo yako ungeliyafanyia wapi? Kipi ambacho kingelikufanya uamini na usadiki kuwa Muhammad kweli ni Mtume na ni kweli ametumwa na Mungu?!
Hakuna rejea nusus hapo Muhammad ndiyo kakufuata kakwambia hivyo utasemaje?
Hapa upo sawa, nobody can prove that nothingness exists. One can only know that nothing exists.Can you prove nothingness exists?
Other than an abstract idea?
Even the abstract idea of nothingness is not nothingness, it is an abstract idea, with properties.
Nimecheka sana. Hili Kama wakubwa zako walishindwa kuthibitisha wewe huwezi mpaka unakufa.Bado unakumbuka!
Nina majukumu Mungu. Msimamo wangu bado upo vilevile Mungu hayupo Mbinguni.
Na usifikiri huwa nashindwa bali napuuzia ninapomuona mtu si muelewa. Ushahidi ninao ila hapa si mahala pake.
Niwekee link ya huo Uzi hapa kwenye hii koti nitaenda kukujibu hukoo!
Kumbe ulikuwa umeshakazia.Hakuna Nothingness hapa ulimwenguni au nje ya ulimwengu.
Maana Kuna possibility ya Multiverse labda uwe hujui.
Atathibishaje kitu ambacho hakipo.
NakuelewaMi samtaimu najuaga, wapo wengi tu wanaowezaga kujua wanaota af wakaendelea kuota au kuamka.
Tena mara nyingi hawa ndio wanaoweza kukuelewa unachozungumza maana wana uwezo wa kujitambua from time to time. Sema tu mda mwingi tunaamaua (na wewe included) ili maisha yaendelee na tusionekane machizi. It is normal bro.
Chanzo cha ulimwengu kujulikana kilihitaji ufunuo.Kwanini Wanafalsafa wote katika harakati zao walishibdwa kupatia katika chanzk Cha Ulimwengu. Rejea historian ya Wabafalsafa wa kale wa Magharibi, kina Socrates, Aristoto, Plato na wengine ?
Safi kabisa maana yake hakuna haja ya Falsafa kujua uhakika wa mambo wala uhalisia, hili mpaka kwenye mengine.Chanzo cha ulimwengu kujulikana kilihitaji ufunuo.
Siyo kweli sema hivi hukijui Kiswahili vizuri. Kila lugha inajitosheleza kulingana na haja.Niandike kizungu ndio kina maneno mengi;
Hapa unarudia kosa lile lile. Huwezi kuupata ukweli kupitia Falsafa labda kama Falsafa huijui. Tuachane na suala la Chanzo Cha ulimwengu ambalo umekiri ya kuwa lilihitaji ufunuo, na walio jaribu kuufunua ukweli walikosea.This act is called philosophy.
Hapa twende kwa mifano zaidi usiwe kama Hawa Wakana Mungu wasio gusa hoja ya msingi.Wewe Kisai umekuwa fiti zaidi kuuelewa ukweli ni kwa sababu ya kutumia hizo njia zote. Filosofia ni kitu kizuri katika kuimarisha imani. Hata mimi nisingekuwa imara kama nilivyo katika imani (Ukweli) bila kuzijua falsafa na mantiki.
Ina kazi yake. Kubwa tu hasa katika dunia ya leo ambayo tayari inazo elimu nyingi. Hatuwezi kutegemea kujua kwa 'inocence' ya ujinga, lazma na inabidi akili itumike ili kurudi mwanzo na kupafaidi zaidi.
Kungekuwa hakuna haja ya falsafa na mantiki kama tungekuwa tunapokea mafunuo kila siku na katika kila kitu.Safi kabisa maana yake hakuna haja ya Falsafa kujua uhakika wa mambo wala uhalisia, hili mpaka kwenye mengine.
Mfano kwetu sisi Kuna "Elimu ya uhakiki wa habari" ukitaka kujua Elimu Ina miujiza yake basi ni kwenye elimu hii, mpaka huwa najiuliza hivi mfano Elimu hii ingekuwa imejengeka kwenye misingi ya logic au Falsafa hivi tungeujua ukweli wa mambo kweli kama ulivyo ? Weka nukta hapa.
Nilishindwa kutofautisha fact na truth kwa kiswahili. Maybe ni mm tu sijui, au harakaharaka sikukumbuka. Whatever sio cha maana sanaSiyo kweli sema hivi hukijui Kiswahili vizuri. Kila lugha inajitosheleza kulingana na haja.
Safi kabisa, bila shaka Mimi na wewe tutaelewena. Hakuna haja ya Falsafa na Mantiki sababu jambo limeshakamlika. Mfano katika imani yetu sisi Waislamu tunaambiwa dini imekamilika. Maana ya kitu kitu kilichokamilika ni kuwa ukiongeza kitu juu yake una kiharibu na ukipinguza kadhalika unaharibu. Kwahiyo kilicho bakia kwetu sisi ni kutumia akili yetu katika kufata mafunuo na kutafakari basi.Kungekuwa hakuna haja ya falsafa na mantiki kama tungekuwa tunapokea mafunuo kila siku na katika kila kitu.
Sahihi kabisa. Lakini wale walikuwa wanapatia katika kufikiri, na watu hao hawakumjua Plato wala Homeri wala Thales wala Anaksimenesi wala Anaksimanda wala Zeno wala Demokritus wala wala ...Lakini wewe ni shahidi, hakuna mtume yeyote aliyeleta ujumbe na tukapokea kama ulivyo. Na pia jumbe nyingi tu zilihitaji watu waelekezwe kwamba hii ni hii na inahusiana hivi na hiki na kile, kwa hiyo ishi hivi na ndugu na ndiyo njia sahihi. Hiyo ni sehemu ya falsafa uhusuano baina ya kweli.
Walishasemaga 'Truth (just like beauty too) is best adorned when unadorned'Safi kabisa, bila shaka Mimi na wewe tutaelewena. Hakuna haja ya Falsafa na Mantiki sababu jambo limeshakamlika. Mfano katika imani yetu sisi Waislamu tunaambiwa dini imekamilika. Maana ya kitu kitu kilichokamilika ni kuwa ukiongeza kitu juu yake una kiharibu na ukipinguza kadhalika unaharibu. Kwahiyo kilicho bakia kwetu sisi ni kutumia akili yetu katika kufata mafunuo na kutafakari basi.
Hapana hii sawa sababu Ufunuo unapo sema una roho unakuelezea roho ni nini, na nini hatima yake kwahiyo hapo hapo unajua kutokana na sifa anuai zilizo tajwa na ufunuo Roho si jiwe roho mwili. Labda ufunuo unao ujua wewe haujaelezea kuumbwa kwa ulimwengu na wanadamu. Roho hupulizwa akili tu ishajua roho si kitu Cha kushikika.Mfano ufunuo ukisema 'una roho' baada ya hapo falsafa itakusaidia kujua roho na mbingu sio physical. Kwa hiyo mambo mengine yafanyike kiroho hata kama physically utaikosa mantiki yake. Lakini yafanyike hivi bila kuathiri vibaya physical world. Mi nnaona zote hizo ni sehemu ya falsafa. Inatusaidia kuufikia na kuuishi ukweli.
Safi kabisa.Nilishindwa kutofautisha fact na truth kwa kiswahili. Maybe ni mm tu sijui, au harakaharaka sikukumbuka. Whatever sio cha maana sana