Philippe Wamba: New Pan-African Generation

Philippe Wamba: New Pan-African Generation

Ndiyo ubaya wa kuendekeza ushabiki mkuu. Ndiyo maana mimi sipendi ushabiki wa kisiasa. Maana mtu ukisha kuwa shabiki wa pande fulani kwamwe hupendi kuona mazuri ya upande mwingine wala ubaya wa upande wako. Unaondokewa na "objectivity".

Humu JF kuna watu toka kada mbali mbali za jamii yetu. Kuna wana taaluma, wafanyabiashara, wafanyakazi wa serikali, waandishi, nk. Kuna watu ambao wana experience ambazo zinaweza saidia sana kuongeza chachu za majadiliano. Tatizo kama ulivyo sema kuna walio ingiwa na ushabiki wa kisiasa. Mtu unakuta hata kama upande wake umekosea atatumia nguvu zote kutetea au upande mwingine ukifanya jema aidha waponde au wakae kimya.[/B]

Maneno yako mazima...Jukwaa la siasa limekuwa disgrace kwa JF

Halafu kimeanzishwa kitu kinaitwa Jukwaa la Great thinkers ambako hakuna anayekwenda kusoma kitu kule.

To be honest I miss Jambo Forum. Kulikuwa na vichwa sana enzi zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom