Mbona tunaambiwa Samson Mwigamba ndiye mgombea wao! Alafu, mbona vyama vingine vilishindwa kumpata mgombea Urais kutoka vyama vyao hadi mgombea wao akachukuliwa nje ya vyama vyao na kumsilimisha!Bora basi angeenda CCM kama ana ubavu lakini huko alikoenda nina shaka kama atafanikiwa. Hicho chama ni bado kichanga sana kinashindwa hata kumpata mgombea wa Urais wakati kwenye vyama vingine watu wanagombana na kususa kwa sababui tu wameenguliwa kwenye nafasi ya kuwa wagombea wa Urais.