Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.Soma vizuri hapo kwamba ni close Man with Jakaya Kikwete.
Sasa sijui kama una guts za kumchana Jk, je ujila wa buku 7 utalipwa na nani? Si ndio mwanzo wa kukimbia mji huu.
Ngoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije kumchana jf hakuna cha kuficha.
Ni wewe Simiyu Yetu tunayekufahamu, au kuna jamaa kaiba password yako..??
Simiyu Yetu, njoo huku, kuna mtu kaiba password yako...
Unaonekana una-comment kama m-Tanzania mzalendo, kinyume kabisa na 'ajira' yako...
Panya ClanHakuna msafi ndani ya CCM wote ni Ukoo wa Wala Rushwa Mafisadi.
Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.
Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.
Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.
kama ni hivi,mtumishi mkuu waserikali kaiba hivi nani wa kumuamini tena katika jamii yetu!!mzee na mvi kakosa hata pesa ya kumpa accountant achakachue mahesabu ya warsha nyingi,give aways kibao kama tshirts,posho ya walinzi wa msitu etc!!amefanya hivyo kwa kiburi cha ikulu usibisheRais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.
Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.
Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.
Sheria za China zikiletwa Tanzania basi ujue safu ya uongozi wa juu Chadema hakuna atakaebaki.Ruzuku peke yake itasababisha wote kuchezea kitanzi acha pesa za wafadhili,wake za watu na ulaghaimaCCM hakuna kustaafu,kaiba serikalini,kaenda tena kuiba kwenye NGO!!!TANZANIA BILA YA SHERIA KALI KAMA ZA CHINA TUSIJIDANGANYANE HATUFIKI POPOTE KIMAENDELEO
Ngoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije kumchana jf hakuna cha kuficha.
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.
Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.
Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.
Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM
[FONT=comic sans
ms]Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi
kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi
wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala
kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama
misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK
akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM
hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura
ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.
[/FONT]