Na angeipokea angeichanolia mbali kabla ya kuingia kwenye ndege,PHD YA OPEN UNIVERSITY bora hata ya INDIA[/QUOT
Kuwa na heshima kidogo na heshimu vyako huo ni utumwa wa fikra au kwakuwa una phd ya kuongea pumba humu JF
Kuna kamati ya kisekta ya seneta inayoshughulikia zawadi na tunzo mbali mbali anazopewa Rais wa Marekani. Vile vile sheria ya marekani inakata Rais wao kupewa title za nje mfano hawezi kupewa tunzo ya member of british empire yaani sir. Ndio maana husikii hata siku moja wakise obama ni mshindi wa nishani ya nobel hata kama anayo. Obama atakuwa na wasi wasi wa kutakiwa ajieleze amepataje hiyo tunzo ndio maaana anajitahidi kukwepa kupokea tunzo mbali mbali. Zawadi ndio kabisa mwisho thamani ya zawadi kwa mwaka isizidi dola 150