BTW is only Magufuli in CCM????
Msomi wa sayansi haongei reality eti wale walio uziwa viwanda hawakuviendeleza watanikoma ni sawa na baba kuuza nyumba uiwe na pa kukaa na watoto wako ukakunja mpunga halafu unawadanganya watoto yule nilie muuzia nyumba hakupaka rangi atanikoma mitoto ikitoka mashimoni na majalalani inashangilia baba baba baba!ukiuza sio chako tena mzee acha porojo hizo unajichora
Achaupumbavu wewe? wewe umesoma wapi??? mimi Magufuli nimemshuhudia live pale UDSM na tunakula msosi wote cafeteria kipindi anasoma PhD and i was in the final Year doing Masters...............Acha propaganda za ki.pu.mba.vu unakesha huku kuandika upuumbavu kama huna kazi za kufanya tafuta wanaume wakushikishe ukuta
Shikamoo msomi wa UDSM mwenye degree mbili kwa matusi! Hongera UDSM kwa product bora
As a phd holder anatakiwa awe na angalau publication nne..
Yeye ni thesis tu!
Ni kweli tatizo lipo kwenye mfumo mzima wa elimu..
Hivi maana ya kuitafuta Phd ni kuitwa tu Dk. basi au ni kuitumia elimu yako kutatua matatizo katika jamii?Sio lazima. Kuna PhD ambazo ni lazima uwe na 2 published publications, 1 submitted, 1 in preparations ili kugraduate au vinginevyo kutegemea na chuo. Kuna vyuo ambavyo completed thesis tu (inakua reviewed na external and intern reviewers) inatosha kukupa.
Sio lazima. Kuna PhD ambazo ni lazima uwe na 2 published publications, 1 submitted, 1 in preparations ili kugraduate au vinginevyo kutegemea na chuo. Kuna vyuo ambavyo completed thesis tu (inakua reviewed na external and intern reviewers) inatosha kukupa.
With due respect, do you hold a PhD?Sio lazima. Kuna PhD ambazo ni lazima uwe na 2 published publications, 1 submitted, 1 in preparations ili kugraduate au vinginevyo kutegemea na chuo. Kuna vyuo ambavyo completed thesis tu (inakua reviewed na external and intern reviewers) inatosha kukupa.
Mkuu, Kama upo jirani in east Africa, pls tuwasiliane. Natafuta watu Kama wewe lakini Mara nyingi ni wachache. Watu wameingia katika siasa as if, ndiyo ajira ambayo Watanzania tunaitafuta. Matokeo yake sasa baada ya Jakaya kumaliza muda wake, kila mtu huko kanda ya ziwa anataka kuwa kiongozi. Of couse am from there. Lakini kuna vitu sikubaliani navyo. Mimi ni Kati ya wale ambao tulisoma tukaelimimika. Ila wengi wao waliosoma kujua kusoma na kuongea at English.pls contact wherever you are.Habari wana JF,
Ni siku ya jana nilibandika andiko la kutafuta chapisho la PhD holder Rais Magufuli. Sikuwa na maana mbaya kama baadhi walivyodhani na kudai sina haja na chapisho bali kuzungumzia elimu yake. La hasha hiyo haikuwa maana yangu.
Nilikuwa na malengo ambayo mimi naweza kupambanua kama ifuatavyo:
Kwanza kabisa nilitaka kujua kama kweli hawa wasomi wetu wanazitendea haki elimu zao, au ndiyo tunasoma kwa ajili ya "title tu". Pili nilitaka kuonesha ni aina gani ya elimu tuliyonayo hapa nchini hasa sayansi kama nitakavyoeleza kwenye aya zinazofuata hapo chini. Kwa mtazamo wangu mimi naona bado tunasoma historia ya sayansi. Kama research za PhD. zinakuwa ni research ambazo zinaongelea jambo lilishasemwa na wanasayansi wengine, je hii si historia ya sayansi? Kwa nini tuendelee kung'ang'ana na upangaji madaraja na viwango vya elimu na si kuhangaika kubadili mfumo wa elimu ili uwe ni ule utakaompa mwanafunzi ujuzi na maarifa katika tasnia husika?
Thesis ya Mh. ina title ya "The potential of anacardic acid self assembled monolayer from Cashew Nut Shell Liquid as corrosion protection coatings".
Kwa wanakemia hasa wale wa organic chemistry wanajua hizi ni alkenylphenols ambazo zinapatika kwenye maganda ya korosho. Hiyo anacardic acid ndiyo inapatika kwa wingi katika hayo maganda. Hata aliyemsimamia research hiyo Dk. Magufuli ambaye ni Dk. Joseph Buchweishaija aliwahi kufanya kazi ya kuitenganisha yeye na wenzie walifanikiwa ku-isolate kwa asilimia 82% wakitumia sample ya 3g ndani ya dakika 150.
Ni kweli moja wapo ya kazi ambayo hiyo acid inaweza kufanya ni kuzuia kutu kwa kuzuia oxidation. Si lengo langu kufundisha kemia kwenye uzi huu, point yangu ni hii;
Mtwara kuna korosho, bahati nzuri aliyefanya research hii ndiye Rais wa nchi hivi sasa. Imeshindikana je kuitafsiri research hii katika vitendo na badala yake imehifadhiwa kwenye makablasha hapo UDSM? Mimi nilishangaa sana jana watu walivyokuwa wananiambia nikaitafute kwenye library ya UDSM. Hivi kweli hilo ndiyo lengo la kufanya research? Tutaendelea kufanya tafiti za kutunukiwa degree tu na kuachana nazo mpaka lini?
Kwa mtazamo wangu mimi naona mfumo mzima wa elimu yetu unakasoro bila kujali ni level ipi. Unahitaji kushughulikiwa ili kuondoa fikra za nadharia zilizotawala vichwa vyetu. Ufike wakati tutafsiri nadharia kwa vitendo, hapo tutasonga mbele na si kupangua alama za ufaulu na sifa za kwenda Vyuo vikuu.
Tunapong'an'ania kuwa elimu bora ni kupata "A" tu kwenye karatasi ni kujidanganya kuwa tuna maarifa kumbe ni maarifa ya nadharia tuliyoyaacha kwenye karatasi. Ni nani asiyejua kuwa hizi "A" zinapatikana kwa kukesha tukisolve lundo la mitihani iliyopita? Hata huko vyuo vikuu watu wanahangaika kupata mitihani iliyopita wakibahatisha basi ni "As" na GPA za 4.5 hewa? Katika chuo kikuu kimoja hapa nchini vijana wanasoma Bsc. Physics mwaka wa kwanza hadi wa pili practical kubwa wanayofanya kila semister ni ya Cathode Ray Oscilloscope kustudy frequency za source za umeme kama DC generator, halafu hawa ndiyo watakuwa technologists kweli?
Natoa Rai kwa serikali hii kama kweli ina nia ya dhati katika kuboresha elimu isihangaike tu na madaraja na viwango vya ufaulu, bali twende kwenye elimu ya kutenda zaidi si ufaulu wa karatasi tu. Tunahitaji falsafa mpya ya elimu. Inawezekana je mtu anasoma mechanical engineering miaka minne lakini aingie workshop mwaka mmoja tu? Ni hayo tu, sikuwa na maana ya kukosoa elimu ya bwana mkubwa bali falsafa ya elimu tuliyong'ang'ania ya ufaulu wa makaratasi.
Habari wana JF,

With due respect, do you hold a PhD?