PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

Naona mnafukua makaburi ya 2011 wakati bwana yule kasema hafukui makaburi na hajaribiwi:D:D
 
Kama ingepatikana na kusomwa ingakuwa chachu yakuanzisha Vi-Wonder vya Mafuta ya Korosho. Hili chapisho la hii PhD ya mheshimiwa ina vitu vizuri vya kufanyia kazi na kuwaokoa watanzania kwenye lindi la umaskini. Mbona haipatikani pale library?Au nayo imefanywa kama ilivyofanywa MV Dar?
Mafuta ya korosho
 
Hakika ww umesema,tena uchunguzi uchucshe watu wenye vinasaba vya ccm.manake haiingii akilini,ktk mwawaziri kuna wenye PhD,na wabunge wapo wanaojiita wamesoma vzr.inakuaje mawaziri wacpewe job description ? Mwzr na wabunge wao,washindweje hata kuandaa mpango wa maendeleo wa muda mfupi na muda merefu,nakuuwaclisha bungeni alafu wawe kweli na PhD au elimu nzuri? Lazima tuwe na shaka ya elimu zao,co cri !naunga mkono hoja kwa nguvu zote.
 
Kusema ukweli PhD ya mtu anaemtetea mbeba mabunduki na mvamia ofisi huku akiwa na mavyeti feki hata mi naunga mkono ichunguzwe tu. Namba itasomwa tu halafu hii Habari ni ya 2011, msije kusema tunamuonea kwa kuwa sasa hivi kahamia feri.
 
Kama hayakuwahi kujibiwa,wao wanapata wapi uhalali wa kuhukumu wengine?

Kwa haya yanayoendelea nina hakika tungekuwa na wabunge au wanasiasa aina ya Julius Malema,swala hili sasa lingeibuliwa upya either ndani ya Bunge au hata nje ya Bunge.

Tusisahau charity begins at home.

Watanzania ni watu wapole sana nchi zingine huwezi fanya mambo kama haya wakaacha kukuanika wewe mwenyewe na wasaidizi wako wote.
 
Wewe usiye na ujinga kama wetu, una vyeti ? Au kwa kua wewe ni mesenja ofisi ya bashite, ndo unaona sisi wote wajinga. Manake unatetea ujinga uliozidi ujinga wetu ! Ndo maana nchi haiendelei kwa kua na watu wa aina yako,wanaorudisha juhudi za maendeleo nyuma !.serikali inayoendeshwa na genge
La watu wanaojua kusoma juma na roza wana kikombe ! na kuandika majina yao tu, unategemea tuifumbie macho na midomo ? Simta tusomba wote,na hilo Lori lenu lililokata
senta bolti na kutumwaga ruvu !
Ukaguzi wenu wa vyeti unabagua,ccm halali kutumia vyeti feki,watumishi wanaohisiwa kuwapa wapinzani kura,ndo wengi mliowafeki ! Alafu mnajidai ni siri.eti mpo kazini kuua upinzani,mtakaa sana !
Mpango wa maendeleo wa muda mrefu na mfupi,uliwashinda nini kuuandaa na kuuwasilisha bungeni,kama mmesoma,na mna vyeti halali ? Na mnajua mnachokifanya? Ona tu aibu kwa hilo.wanachama wa ccm,wabunge,maafisa wa serikalini,mawaziri,wote nyie mshindwe kuandaa jambo linalokwenda kujadiliwa bungeni ?au mlikua hamjui nini kilikua kinaenda kufanyika bungeni ? Alafu unaita watu wajinga ! Wewe ! tuliza akili na mdomo,kabla hujakurupuka.
 
Kama hayakuwahi kujibiwa,wao wanapata wapi uhalali wa kuhukumu wengine?

Kwa haya yanayoendelea nina hakika tungekuwa na wabunge au wanasiasa aina ya Julius Malema,swala hili sasa lingeibuliwa upya either ndani ya Bunge au hata nje ya Bunge.

Tusisahau charity begins at home.

Watanzania ni watu wapole sana nchi zingine huwezi fanya mambo kama haya wakaacha kukuanika wewe mwenyewe na wasaidizi wako wote.
Anayayoyafanya now na kuyakosea ni damu alizomwaga zinamlilia.
 
Back
Top Bottom