PhD ya Diamond: Simulation

PhD ya Diamond: Simulation

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Simulation ya Diamond kwenye joho la Phd. Picha hii haina uhalisia lakini iwe kichocheo cha Diamond kurudi shule....
 

Attachments

  • IMG-20141110-WA0017.jpg
    IMG-20141110-WA0017.jpg
    41.8 KB · Views: 536
Atakuambia aende shule ili apate nini cha zaidi? Kama ni hela anapiga za kutosha. Ni hicho cheti tu cha kutundika ukutani?
 
Aende CHINA tu anapewa PHD,si mmeona mshikaji alivyopewa bila hata kuingia class?
 
Wewe uliyesoma unaingiza shilingi ngapi kwa mwezi na yeye anaingiza shilingi ngapi?
 
Karatasi yenye thamani duniani ni pesa tu
 
Back
Top Bottom