Usimuhukumu.......tambua yeye ni mchumi mkubwa hapa Tanzania....Ninachojua hawa wachungaji wanaishi maisha ya juu na starehe huku asilimia kubwa ya wasikilizaji wao ni walala hoi, hata huyu Mwakasege nae ni mpigaji tuu bonge la jumba, watoto shule ulaya kwa sadaka zetu.
Amefanya nini?Naona huu ni wakati muafaka kwa vyuo vyetu vikuu ndani ya Tanzania kumtunuku Shahada ya (Heshima) kutambua na kuuthamini mchango wa Mwl huyu katika ukombozi wa Fikra haswa katika maswala ya Uchumi na Uongozi.
Ninachojua hawa wachungaji wanaishi maisha ya juu na starehe huku asilimia kubwa ya wasikilizaji wao ni walala hoi, hata huyu Mwakasege nae ni mpigaji tuu bonge la jumba, watoto shule ulaya kwa sadaka zetu.
so hao wanaotunukiwa wanafanya kwa akili zake don be so selfish think widerHana haja ya hiyo PhD ya vyuoni
Maana hafanyi kwa akili zake mwenyewe, we mtukuze Mungu kwa alichompa na Mungu atamuongezea zaidi kwa ajili ya wengi.
chuo hakuna mwalimu, jifunze kiswahiliHivi ni mwalimu wa chuo ??
mkuu, sio kwamba nam diss, ila mimi sijui, kitu kikubwa sana alichofanya hadi kustahili phd, labda post yako ya mwanzoni ungeifafanua zaidiMungu anatambua
Tanzania inatambua
Dunia inajua.
Wewe upewe ya umbea na majunguNa Antony Lusekelo apewe PhD ya ujasilia mali na kujipatia pesa kilainiiiiii!!!!!
Gwajima PhD ya Mitusi..... na uzinifuuuu