PhD inalipa? Iweje wafanye u-MC wa kitchen party?

ndinmiemQUOTE="nyangulo laizer, post: 34860501, member: 588687"]
Mxaga ninani?maboya tu axa ukabila mjinga wewe waxaga washamba tu lbda mbege na viduka uswaz ndo wanajua

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Ume mind kisa mchaga na ana PHD .Go my brother go huku unakunja hela waache watu wafe na tai shingoni
 
Jitahidi kutengeneza mianya mingi ya hela kadri uwezavyo
 
uyo soon ananyang'anywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachokoza watu wewe.Ngoja waje wale jamaa kutoka UDASA mpaka utaomba poooo!!!

Mtu anaweza kuwa na elimu ya darasani lakini pasipo na akili.Pia mtu anaweza kuwa na akili pasipo elimu ya darasani.

Kwa hiyo,elimu na akili katika maisha ni "relative terms"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu elimu inakusaidia kupambana na mazingira yanayokuzunguka tu,ila wewe fanya kazi yoyote inayokupa kipato halali na kuweza kiendesha maisha yako na familia yako
 
Kwan mnamzungunzia PhD yupi yule hemed au mbn hana k2 mtaani nenda pale Marrybrown M City anashinda hapo daily hana jambo
 
Dunia ya sasa elimu yako ili ikupe thamani zaidi lazima uwe na pesa pia, jamaa yangu kasomea MD anapiga kazi muhimbili na hospital nyingine for part time lakini pia ni MC mkubwa tu mjini hapa, weekend yupo zake ukumbini uko anachezesha watu kwaiyo kwa msaa 4 ama 5 anachukua mpunga wake mrefu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…