and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,219
- 39,701
Nigeria watu wana PH.d na ni madereva wa ma-lorry ya dangote na maisha yanaendelea fresh tu.
Chris Mauki PhDNi Mc gani ana PhD
Ni Mc gani ana PhD
MC "Dr." PilipiliMtaje jina
Noted mkuu.Point, elimu itumike kama kuongeza uelewawa mambo, mengine tujiongeze
PhD
Wewe huna akili. Umepitia DUCE lakini hujui tofauti ya LECTURE na LECTURER?Ukwel n kwamba jamii unayoisema haikupi heshima kama hauna pesa. Hata kama utatatua changamoto zake lakin kama huwez kubadilisha changamoto zikupe pesa utadharaulika hata na wale wasio soma.
Mm ninamfaham moja wapo ya Lecture wang pale DUCE n MC mzur tuu na inavyoonekana anahost event za pesa kubwa kubwa sio hiz za uswahilin.
So kama mtu kaona PHD yake apeleke kweny u MC muache atafute tonge la familia yake.
Mkuu ufahamu wako ni mdogo saana! Kama ulienda Shule bado una mtazamo wa kale sana!Ni ukweli usiopingika kuwa PhD (ya kusomea) ndio shahada ya juu kabisa Chuo Kikuu kinaweza kutoa hapa duniani.
Lakini wanazuoni wamehusisha shahada hii na mafanikio ya kifedha.
Dhahiri pia ni kwamba PhD kwa bongo hailipi kutokana na waliopata kusaka fursa za kitaa ikiwemo kuwa Mc wa Kitchen party shughuli ambazo hata Asha Ngedere ambae kaishia darasa la 2 anaifanya kwa ufanisi pia. Sio level za PhD kuwa MC uswazi bali inategemewa PhD kufanya za kutatua matatizo yanayoikabili dunia na si kukimbizana na Kitchen parties kitaa.
Finder,
Umenikumbusha Mwl. Wangu pale IRA-UDSM (Msc. NARAM) Mheshimiwa Professor (PhD) Mbunge Mstaafu alipokosa ubunge 2010 na theories za Mchuchuma.
**PhD kwa Maendeleo ya Viwanda.
Mzee nilisomaga nondo zake za EIAMtaalamu, Mzee wetu, mpole, mtaratibu, mwenye nywele nyeupe!