benja JF-Expert Member May 10, 2011 319 213 Apr 13, 2016 #1 Habari wana Jamvi Ninahitaji kusoma PhD in Health Economics, nipo Dar es Salaam naombeni msaada
Masiya JF-Expert Member Apr 2, 2012 7,602 7,325 Apr 14, 2016 #3 benja said: Habari wana Jamvi Ninahitaji kusoma PhD in Health Economics, nipo Dar es Salaam naombeni msaada Click to expand... Mkuu itabidi ufunguke zaidi ili uweze kupata msaada. Hujasema unataka msaada wa aina gani-elezea kwa kina wajuzi watakusaidia.
benja said: Habari wana Jamvi Ninahitaji kusoma PhD in Health Economics, nipo Dar es Salaam naombeni msaada Click to expand... Mkuu itabidi ufunguke zaidi ili uweze kupata msaada. Hujasema unataka msaada wa aina gani-elezea kwa kina wajuzi watakusaidia.
balimar JF-Expert Member Sep 18, 2015 7,690 13,578 Apr 14, 2016 #4 Et ndo anataka kufanya PhD daah hizi shule sasa ni kwikwi
Ze Heby JF-Expert Member Jun 22, 2011 5,567 6,014 Apr 17, 2016 #6 Wasiliana na Kigwangala.Alisoma hii kitu
mzama chumvini JF-Expert Member Mar 14, 2016 730 641 Apr 17, 2016 #7 balimar said: Et ndo anataka kufanya PhD daah hizi shule sasa ni kwikwi Click to expand... Atakua Na Masters Kutoka mzumbe
balimar said: Et ndo anataka kufanya PhD daah hizi shule sasa ni kwikwi Click to expand... Atakua Na Masters Kutoka mzumbe