Pharmarcy

kelvin Brown

Member
Aug 10, 2012
7
0
hallow wana jf hongereeni sana mliopata loan pamoja na mliokosa tumshukuru mungu,kikubwa ni kwamba tunaenda kupambana na kipi tulichokibakisha,mimi nilitamani kusoma pharmacy hapo mwanzo lakini tcu wallinipeleka bs of science in chemistry hapo udsm,moyoni bado nataman pharmacy je nitaweza kuisoma tena miaka ijayo?je kuna uhusiano wowote kati ya hiyo course niliyopangiwa na pharmacy?asanteni
 
mh embu tungoje wataalam waje!!!! chemistry na uhakika inafanana sana na pharmacy...labda kwa masters(am not that much sure) unaweza somea iyo pharmacy mkuu!!!!
 
Back
Top Bottom