Pharmacy v Doctor of Medicine

xy-gene

Member
Mar 20, 2019
68
54
Wakuu, ningependa kujua opportunities zinazoweza kupatikana kwa course ya Pharmacy/ MD na ungenishauri nisome ipi ikitokea nikapata nafasi kwa course zote mbili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unataka sifa na jina kubwa katika jamii soma MD lakini kama unataka fedha soma pharmacy. Kwa mshahara wa serikali MD mshahara wake ni mkubwa kuliko pharmacy lakini fursa za kupata pesa bila jasho kubwa ni nyingi sana kwa pharmacy kuliko MD.
 
Iyo yenye fedha na fursa ndo fresh! Ila kwenye ugumu inasemekana Pharm ni ngumu kushinda MD. Ni kweli hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom