Pharmacy na clinical officer

ERNEST TZ

Senior Member
Aug 11, 2017
115
14
Nataka kusoma chuo cha afya kwa level ya diploma hivyo kozi gani INA maslahi makubwa na mazuri kuzidi nyingine pale intakapo maliza msaada wakuu
 
Kasome clinical... Pharmacy mpaka upate bachelor ndio utaenjoy maisha lkn kwa diploma hautakuwa na tofaut na nesi... Pharmacy itakufaa kama unampango wa kuunganisha mpka bachelor otherwise piga clinical
 
Na kwa m2 alepata ufaulu wa daraja la 3 mwenye C ya Chemistry na D the rest subjects ana qualifications za kusoma diploma ya clinical mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom