Pharmacy iko sokoni shinyanga mjini

Pharmacy iko sokoni shinyanga mjini

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Habari wanajamii Pharmacy hii inauzwa Shinyanga Mjini for more details please Pm me.
 
Attachments

  • 083.JPG
    083.JPG
    198 KB · Views: 154
  • 081.JPG
    081.JPG
    273.7 KB · Views: 168
  • IMG_3025.JPG
    IMG_3025.JPG
    261.5 KB · Views: 143
Ipo jilani na soko kuu. Stand ya tax TRA mmiliki anaishi Meatu anafanya biashara za phamacy.

Nina shida hadi kufikia kuiuza hii phamacy tuanzie hapa kwanza
 
Ipo jilani na soko kuu. Stand ya tax. TRA.. mmilik anaish Meatu. Anafanya biashara za phamacy.

Nn shida hadi kufikia kuiuza hii phamacy... tuanzie hapa kwanza

Unfortunately NO pharmacy hii mmiliki ni mimi siyo huyo wa Meatu as you suggested
 
Ipo jilani na soko kuu. Stand ya tax. TRA.. mmilik anaish Meatu. Anafanya biashara za phamacy.

Nn shida hadi kufikia kuiuza hii phamacy... tuanzie hapa kwanza
Biashara ya pharmacy kwa sasa bora uuze matunda!Yakiharibika unatengeneza juice
 
Ni vigumu sana kuuza mradi unaozalisha.Bahati mbaya ni kuwa kuna watu wanaopiga hela kwenye biashara nyingine na wamedhani kwenye biashara ya dawa anaweza kupiga hela zaidi.Hali inakuwa tofauti sana mtu anapoingia kwenye biashara yenyewe.
Kwanza unalazimika kupata chumba/vyumba angalau 2 vizuri ambavyo malipo yake hayawezi kuwa kidogo.
Unatakiwa kumlipa mfamasia kwa ajili ya kuweka cheti ili upate kibali.Gharama ya kulipa ni kati ya 1M-1.6M kwa mwezi.Huyu anaweka tu cheti hauzi dawa!Inabidi utafute nesi wa kuuza dawa hizo ambaye naye utamlipa kila mwezi.
Changamoto kubwa ni kupata wateja.Unaweza kuta una dawa nyingi ambazo hazinunuliwi na zinaanza kuisha muda,wakati pengine una madeni,biashara ngumu,TRA wanaangalia vioo tu unakamuliwa!Kwa usalama wa roho akili na mwili,inabidi uuze pharmacy ukawekeze angalau kwenye biashara ya misumari.
 
Well said angalia pia ununuzi na uuzaji wa dawa na margin yake then utueducate zaidi utajua if it's worth it or not
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom