Pharmacy iko sokoni shinyanga mjini

Pharmacy iko sokoni shinyanga mjini

Apo ni ile mitaa ya pembeni Shycom nini?
KaMji ka shinyanga kukazunguka nilienjoy sana sema sikuona totoz za kununua kama vile wahaya wanavojiuzaga bei chee
 
Hahah madem wa kujiuza wako mwanza bana.. shy wachaf wachaf tu hta kuwaingizia mkunyenge unaogopa..
Haha mkuu Mwanza sijawai kufika iyo Kanda ya Nyonyo bado sijaimaliza...sema kweli Shy hamna shy japo nilikapenda kale kaMji...

Geita kwa John Pombe imewazidi Shy kwa huduma ya totoz mana Geita mjini pale pembeni ya CCM Mkoa kuna totoz zinajiuza sema bei ghali eti elfu 5 wakati Dar Mwananyamala kwa Wahaya ni buku 3 tu na bei inaeeza kushuka...

Sema nini Mkuu Wahaya wa Dar maboya hawana customer care nzuri kama wahaya wa kanda ya nyonyo...
 
Duh Tanzania Tanzania nchi yangu inaangamia
 
Ni vigumu sana kuuza mradi unaozalisha.Bahati mbaya ni kuwa kuna watu wanaopiga hela kwenye biashara nyingine na wamedhani kwenye biashara ya dawa anaweza kupiga hela zaidi.Hali inakuwa tofauti sana mtu anapoingia kwenye biashara yenyewe.
Kwanza unalazimika kupata chumba/vyumba angalau 2 vizuri ambavyo malipo yake hayawezi kuwa kidogo.
Unatakiwa kumlipa mfamasia kwa ajili ya kuweka cheti ili upate kibali.Gharama ya kulipa ni kati ya 1M-1.6M kwa mwezi.Huyu anaweka tu cheti hauzi dawa!Inabidi utafute nesi wa kuuza dawa hizo ambaye naye utamlipa kila mwezi.
Changamoto kubwa ni kupata wateja.Unaweza kuta una dawa nyingi ambazo hazinunuliwi na zinaanza kuisha muda,wakati pengine una madeni,biashara ngumu,TRA wanaangalia vioo tu unakamuliwa!Kwa usalama wa roho akili na mwili,inabidi uuze pharmacy ukawekeze angalau kwenye biashara ya misumari.
Tatizo la biashara ya pharmacy ni maduka ya dawa muhimu/baridi ambayo huuza pia kinyemela madawa yanayopaswa yauzwe na pharmacy tu!!! Hii biashara ni pasua kichwa!
 
Ipo jilani na soko kuu. Stand ya tax. TRA.. mmilik anaish Meatu. Anafanya biashara za phamacy.

Nn shida hadi kufikia kuiuza hii phamacy... tuanzie hapa kwanza
Ni hii iliyo karibu na ofisi ya TANESCO?
 
Tatizo la biashara ya pharmacy ni maduka ya dawa muhimu/baridi ambayo huuza pia kinyemela madawa yanayopaswa yauzwe na pharmacy tu!!! Hii biashara ni pasua kichwa!
Sidhani kama ndivyo,maana wengi mjini wanapenda kwenda Pharmacy.Pia pharmacy nyingi wanauza retail na jumla.Na wateja wao ndo hao hao maduka ya dawa muhimu.
Changamoto ninazoziona,ni kuwepo kwa ushindani mkubwa na wakati mwingine usio halali!Hili lina maelezo marefu kidogo.Matokeo ya ushindani huu,yamefanya profit margin kuwa ndogo sana ukilinganisha na hapo nyuma.Jamaa yangu alilazimika kufunga baada ya kugundua ana mzigo wa zaidi ya milioni nane umekaribia kuisha muda wa matumizi na wateja hakuna.Hivi sasa anafanya biashara ya umachinga kwenda China na kuleta bidhaa.Ila alilaani sana biashara hii ukizingatia usumbufu uliopo kwa ujumla
 
Ninafikiria kuanzisha biashara ya duka muhimu za binadam. Apo umenipa baadhi ya changamoto. Nipatie changamoto zingine unazozijua za hii biashara mkuu plz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom