Phamacy vs Veternary medicine

Phamacy vs Veternary medicine

Ingekua ni muhimbili ningevunja ushauri wa kwanza.... Ila kama unaweza kujisomesha au kama wazazi wana uwezo then nenda ila kama huna uwezi/mtoto wa mkuljma nenda SUA. bvm wanalipa laki sita na pesa kidogo kwa semister na kwa mwaka mmoja ni 1,263,00 kama sijasahau. Ukipata boom bvm jua unapewa 100% kabisa may be kama zama hizi za huyu msukuma maana hachelewi kuleta fitina....

Kila la heri dogo na nnarudia tena...najua uko kwenye dilemma ila Kaa tuliza akili ikiwezekana muombe Mungu akupe mwongozo ili ufanye maamuzi sahihi na usome unachopenda toka moyon!!
Nashukur sana mkuu, hakika nmejifunza kitu, ubarikiwe sana
 
Ningekuwa mimi ningeenda BVM nikapige ela za wafugaji
 
nimekuelewa sana GENTAMYCINE hata mm nilikuwa na wazo kama lako tatzo changamoto iliyopo ni ada kuwa kubwa kwa chuo nilichochaguliwa pharmacy nahisi kama vle sitahimil vishindo, ahsante kwa ushaur
Ukishindwa pharmacy, hiyo veterinary medicine ndiyo huiwezi kabisaaaa....komaa na,pharmacy simpo sana huumiz kichwa ni mwendo wa pharmacokinetics na pharmacodynamics tu mwanzo mwisho ...hii nyingine ni pasua kichwaaa,a.k.a kipusaa
 
Ukishindwa pharmacy, hiyo veterinary medicine ndiyo huiwezi kabisaaaa....komaa na,pharmacy simpo sana huumiz kichwa ni mwendo wa pharmacokinetics na pharmacodynamics tu mwanzo mwisho ...hii nyingine ni pasua kichwaaa,a.k.a kipusaa
tatzo sio kushindwa kusoma course yoyote, naweza kusoma course yoyote lkn nngependa kupata uwanja mpna wa kuzielewa kiundan zaid course zote mbili
 
Back
Top Bottom