Phamacy vs Veternary medicine

Phamacy vs Veternary medicine

Ningekuwa mimi ningesoma vetenary.. phamacy ajira zake saiv zimekuwa za shida kama kozi nyingine tu
 
Mkuu vijana hawajui haya kwamba pesa sasa ipo kwenye kilimo na ufugaji,

Kitendo cha mtu kusoma vetenary ni dili kubwa mpaka basi

Halafu kitu kingine mpaka umefikia hapo hujui unaenda kusoma nn huwezi kuwa serious mkuu
 
wakuu mada inajieleza, nmechaguliwa multiple selection kwa vyuo viwili course tofaut yaan pharmacy na Veternary medicine, course ipi iko poa zaid na yenye wigo mpana wa ajira, mwenye uelewa mzuri khs course hizi mbili anisaidie kwa ushaur. nawasilisha
Twende pamoja dogo utanielewa nini namaanisha!! (na hay niliyaona kwa wanafunzi wa Vet by that time...sio kwamba nakutisha ila nakupa uhalisia)

Je unajua BVM ina deal na nini?

Je katika maisha yako yoote ushawahi kufuga walau kakuku kamoja?

Je katika maisha yako ushawahi kufagia banda la ng'ombe?

Je katika maisha yako ushawahi kupanda au kutumia ngamia, punda au farasi?

Je unaweza kupiga ngwara ng'ombe au ngamia?

Je katika maisha yako ushawahi kupa sifuri kwenye mtihani walau mmoja?

Je unaweza kusoma under maximum pressure/stress?

Je unaweza kukabiliana na ng'ombe au mbwa mwenye kichaa anayekimbiwa na kila mwanakijiji na ukamshika na kumpiga sindano ya kichaa naakapona?

Je wewe ni bishoo au mtoto wa geti kali usiyependa shuruba za kijijini?

Je kama wewe ni mtoto wa mama/bishoo uko tayari kuagana na ubishoo ukiingia kwenye geti la SUA?

Je unajua BVM wanasoma wanyama wote ikiwemo mwanadamu?

Je uko tayari kusoma miaka mitano au saba (kama uki carry somo) chuoni?

Kama 97% ya maswali yangu hapo juu umejibu NDIO basi you are good to go, kasome BVM!!

Mind you, kwa Tanzania ni SUA pekee ndio wanatoa BVM! pharmacy ni nzuri ila huwezi ilinganishana BVM interms of opportunities! Na ukifanikiwa kuchomoka baada ya miaka mitano basi hutajuta!!
 
mkuu umeitendea haki Bvm, nmekuelewa sana mkuu, umeenda deep sana mkuu inabdi nijitathimin sanaa
 
Mkuu vijana hawajui haya kwamba pesa sasa ipo kwenye kilimo na ufugaji,

Kitendo cha mtu kusoma vetenary ni dili kubwa mpaka basi

Halafu kitu kingine mpaka umefikia hapo hujui unaenda kusoma nn huwezi kuwa serious mkuu
hapana mkuu, mm napenda sana kusoma pharmacy ila tatzo ni hichi chuo nilikochaguliwa ckujua kama ada itakuwa kubwa sana,
 
mkuu umeitendea haki Bvm, nmekuelewa sana mkuu, umeenda deep sana mkuu inabdi nijitathimin sanaa
Kila la heri boss, BTW am not a Vet, niliongelea uhalisia niliokua nauona kwa hao jamaa!!

Kwa ushauri wa mwisho....JUA MAAMUZI UTAYOFANYA LEO NDIO YATAKUAFANYA UJUTE AU UFUDAHIE MAISHA YAKO YA KESHO!!

Once again kila la heri...
 
Ningekuwa mimi ningesoma vetenary.. phamacy ajira zake saiv zimekuwa za shida kama kozi nyingine tu
Yaan hata kama hajapata ajira rasmi huwezi mfananisha na wakosa ajira wengine... yeye hata kama hana ajira atatundika cheti pharmacy na kupata si chini ya milion moja na nusu.....

Si rahisi kukosa kabisa hata private...

Nina jamaa hajapata kazi serikalini lakini pesa kwake si tatizo kabisa yupo na private organizations
 
niliplan kusoma phamacy ila kuna changamoto ya ada kubwa kwa chuo nilichochaguliwa
Kwa ushauri tu ....kapige pharmacy kjn yaan bvm sikutishi waweza kusoma miaka saba .,....na ukaishia porini for nothing pharmacy ndiyo dili kaka
 
hapana mkuu, mm napenda sana kusoma pharmacy ila tatzo ni hichi chuo nilikochaguliwa ckujua kama ada itakuwa kubwa sana,
Then kama unapenda pharmacy komaa usome pharmacy ila Angalizo tu mtaani hakuna ajira hata hizo za pharmacy
 
Twende pamoja dogo utanielewa nini namaanisha!! (na hay niliyaona kwa wanafunzi wa Vet by that time...sio kwamba nakutisha ila nakupa uhalisia)

Je unajua BVM ina deal na nini?

Je katika maisha yako yoote ushawahi kufuga walau kakuku kamoja?

Je katika maisha yako ushawahi kufagia banda la ng'ombe?

Je katika maisha yako ushawahi kupanda au kutumia ngamia, punda au farasi?

Je unaweza kupiga ngwara ng'ombe au ngamia?

Je katika maisha yako ushawahi kupa sifuri kwenye mtihani walau mmoja?

Je unaweza kusoma under maximum pressure/stress?

Je unaweza kukabiliana na ng'ombe au mbwa mwenye kichaa anayekimbiwa na kila mwanakijiji na ukamshika na kumpiga sindano ya kichaa naakapona?

Je wewe ni bishoo au mtoto wa geti kali usiyependa shuruba za kijijini?

Je kama wewe ni mtoto wa mama/bishoo uko tayari kuagana na ubishoo ukiingia kwenye geti la SUA?

Je unajua BVM wanasoma wanyama wote ikiwemo mwanadamu?

Je uko tayari kusoma miaka mitano au saba (kama uki carry somo) chuoni?

Kama 97% ya maswali yangu hapo juu umejibu NDIO basi you are good to go, kasome BVM!!

Mind you, kwa Tanzania ni SUA pekee ndio wanatoa BVM! pharmacy ni nzuri ila huwezi ilinganishana BVM interms of opportunities! Na ukifanikiwa kuchomoka baada ya miaka mitano basi hutajuta!!
Bt you made my day
 
IMG_20170830_170454.jpg
 
Kwa ushauri tu ....kapige pharmacy kjn yaan bvm sikutishi waweza kusoma miaka saba .,....na ukaishia porini for nothing pharmacy ndiyo dili kaka
ahsante kwa ushaur mkuu, japo nasita ku confirm pharmacy sababu ya ada kubwa ntajua cha kufanya
 
Yaan hata kama hajapata ajira rasmi huwezi mfananisha na wakosa ajira wengine... yeye hata kama hana ajira atatundika cheti pharmacy na kupata si chini ya milion moja na nusu.....

Si rahisi kukosa kabisa hata private...

Nina jamaa hajapata kazi serikalini lakini pesa kwake si tatizo kabisa yupo na private organizations
ahsante kwa ushaur mkuu
 
Ni bugando mkuu
Ingekua ni muhimbili ningevunja ushauri wa kwanza.... Ila kama unaweza kujisomesha au kama wazazi wana uwezo then nenda ila kama huna uwezi/mtoto wa mkuljma nenda SUA. bvm wanalipa laki sita na pesa kidogo kwa semister na kwa mwaka mmoja ni 1,263,00 kama sijasahau. Ukipata boom bvm jua unapewa 100% kabisa may be kama zama hizi za huyu msukuma maana hachelewi kuleta fitina....

Kila la heri dogo na nnarudia tena...najua uko kwenye dilemma ila Kaa tuliza akili ikiwezekana muombe Mungu akupe mwongozo ili ufanye maamuzi sahihi na usome unachopenda toka moyon!!
 
Nashukur sana mkuu, hakika nmejifunza kitu, ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom