Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Pole so kumbe propaganda na hadithi za vijoweni ndio unajua tu. Bure kabisa wewe., tembea ishi Kenya kisha utoe maoni.
Hizo ni propaganda za uongo za wazungu ili wazidi kuitumia kenya kujinufaisha wakati wakenya wanabaki Maskini. Kiuhalisia wakenya maisha ni shida wanufaika ni wachache wanaokuja na kuondoka na mafisadi wa Kenya. Kenya inetumika kama meeting place ya biashara watu wanafanya biashara wanaondoka inabaki tupu. Mfano halisia juzi kuna biashara imeshindwa kufanyika Nairobi yule mwenyeji wa Kenya ambae ni Dalali aliishia na stori tu nikamwambia sisi tunataka ela hatutaki stori.mwisho wa siku nikajiuliza hii ndiyo Nairobi inasifiwa eti ni mojawapo ya centre ya biashara Africa nikabaki nacheka. Muingereza aliipendelea kenya lakini imeshindwa kutumia Fursa wakenya wavivu.
Ardhi yote nzuri ya Kenya wamechukua mafisadi,viongozi wachache , wazungu na Wahindi tu.
Wakenya wengi wamebaki bure .
Uchumi wa Kenya umeshikiliwa na wachache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soko la Gari Mpya(Zero milage) Kenya ni asilimia 5% . Sababu kubwa ni bei..VW walijaribu na VW polo assembly lakini bei ni 1.6M na gari lenyewe afadhali probox..
ksh 1.6M uko na toyota markX ama subaru Outback ya kuagizwa toka Japan..
Gari mpya hununuliwa na Serikali na makampuni,kwa hivyo shirika la Peugeot lipo tu hapa kushindania kandarasi na pesa za serikali, hawako hapa kwa masilahi ya wateja wa magari au wananchi kwa jumla
 
When and if the age of imported cars is lowered again, they will get more expensive.
Local cars will get more attractive.
 
Soko la Gari Mpya(Zero milage) Kenya ni asilimia 5% . Sababu kubwa ni bei..VW walijaribu na VW polo assembly lakini bei ni 1.6M na gari lenyewe afadhali probox..
ksh 1.6M uko na toyota markX ama subaru Outback ya kuagizwa toka Japan..
Gari mpya hununuliwa na Serikali na makampuni,kwa hivyo shirika la Peugeot lipo tu hapa kushindania kandarasi na pesa za serikali, hawako hapa kwa masilahi ya wateja wa magari au wananchi kwa jumla
Aisee ndugu wewe ni analyst bab kubwa shule ya economy uliyopata umeitendea haki kabisa
 
Back
Top Bottom