Petro kalete jiwe!!

Petro kalete jiwe!!

Nasikia siku nyingine aliwaambia kila mtu arushe jiwe litakapofika ndio urefu wa maisha yake sasa kwa vile YUDA alikuwa na bonge la jiwe likaangukia mguuni mwake basi tangu hapo akaanza kumind ndio maana akawa wa kwanza kufa.

Co kila kitu cha masihala ,fikiri kabla ya kuandika
 
Me nadhani lengo hapa c kumtania Mungu, ila ni kuonyesha ni namna gani wanadamu wanahangaikia zaidi ya mwilini kuliko ya rohoni.
 
petro alikua na kaujeuri ka chini chini ukifatilia nukuu.
 
Back
Top Bottom